Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,844
- 52,251
Hee mbona umewah kumaliza kupika
Ningeanza na Mimi ningekuwa nakula saa hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningeanza na Mimi ningekuwa nakula saa hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Pambana na chips kuku uchukue njaa ikianza unakula
That's trueYes this might work as well, maana kwa kumuweka kwa foil unataka aive taratibu kwa njia ya mvukisho huku minofu ikifyonza viungo taratibu...
Hivi mzee baba unajua great chefs wengi ni wanaume...
Hahah...Kwenye migahawa pia uchafu tunakula basi tu ila ukiona wanavyopika aiseeeeehh


Dah speaking of kuku, best places kwangu ni Kisutu au Lumumba pale karibu na CCM lakini huwa wanakuwepo mida ya usiku...
Dah speaking of kuku, best places kwangu ni Kisutu au Lumumba pale karibu na CCM lakini huwa wanakuwepo mida ya usiku...
PerfectoI deep fried them bob
Maagizo gani?
Uhindini
Jamaa wanachoma kuku Kama ulaya aisee
Nimepata njaa ghafla
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora niwe nakula mchana
Saa hizi nimeshazama kitandani kila chakula naona mtihani kupika
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya hivyo, kwa mida hii Lumumba ndio watakuwa wazi, kule Libya/Kisutu hadi baadaye kidogo mji ukipoa
Niko vizuri chief100% food kama kitaepuliwa jikoni kikiwa kibichibichi namna hiyo!![]()
Dah! Halafu leo premier ya Star Wars nimesahau
Alishatengenezwa huyo mkuuMkia hana?
Jr![]()
Kisutu pale kwa wale wasomali sijui waislam wa wapi wale. Nliwahi kula nyama pale duhDah speaking of kuku, best places kwangu ni Kisutu au Lumumba pale karibu na CCM lakini huwa wanakuwepo mida ya usiku...