Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
😊😊
😊😊
Unacheka???
Hahahahha dah nimecheka sana...naona huchezi mbali na fursaNa ikinyofoka tu naidaka kabla haijafika chini, naistiri maana roho yake ikinyofoka moyo wake utatoa machozi
HahahahahahahahahahMimi ni baba paroko ndiyo maana ya wema huu hahahahaha
Hiyo barua ipitishe kwangu kwanza ni hakiki muktadha wa barua ,
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hahahahha dah nimecheka sana...naona huchezi mbali na fursa
Ikipitia kwako nina mashaka kama itanifika mlengwa "baba paroko"Hiyo barua ipitishe kwangu kwanza ni hakiki muktadha wa barua ,
Hahahaha nimemuonea huruma tu...karoho kanadunda ila basi tu nimemuonea huruma tu acha tuYan huenda alishafanya Kaz kambin kwa mapadri maana sio kwa wema huu fisi kumpa fisi mwenzie nyama
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitawanunulia meno ya bandia
HahahaahahahahahaahahahHahahaha nimemuonea huruma tu...karoho kanadunda ila basi tu nimemuonea huruma tu acha tu
Umeanza kumuita boss unataka interview au, muite aya mupenzi
Mkuu hebu subiri kwanza aiseeeeUmeanza kumuita boss unataka interview au, muite aya mupenzi
Hii ni kama zege,zege hailaliMkuu hebu subiri kwanza aiseeee
HahahahahahahaahahahahHii ni kama zege,zege hailali
Muachie muhudumu tip hata nusu ya hiyo hela rich gangKaribu mtori man View attachment 1298015
Nataka kukagua tu na kupitisha sionji kitu chochoteIkipitia kwako nina mashaka kama itanifika mlengwa "baba paroko"