Salhat
Senior Member
- Oct 14, 2018
- 182
- 417
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]dah YanCouple iliyooza meno?? Haahahahahahahah
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]dah YanCouple iliyooza meno?? Haahahahahahahah
Mchumba huyo nimekupa, akikushindwa uje kwangu
Na meno yako tu. Zinaozesha meno hizo Sisi wenzio tushajitolea liwalo na liwe
Muongo huyo Iceberg9 usimsikilize. Hazitii mimba wala nini, ingekuwa kiepe kweli
Na ikinyofoka tu naidaka kabla haijafika chini, naistiri maana roho yake ikinyofoka moyo wake utatoa machoziRoho inataka kunyofoka kabisa
Unacheka?? Ushawahi ku-imagine couple yetu ya vibogoyo??
[emoji1][emoji1][emoji1]acha niandae barua ya maombiMchumba huyo nimekupa, akikushindwa uje kwangu
Usisahau anuani ya inakotoka😀😀😀😀
Yan huenda alishafanya Kaz kambin kwa mapadri maana sio kwa wema huu fisi kumpa fisi mwenzie nyama [emoji1][emoji1]
[emoji2][emoji2][emoji2]Muongo huyo Iceberg9 usimsikilize. Hazitii mimba wala nini, ingekuwa kiepe kweli
Yah full kurushiana mate[emoji38][emoji38][emoji38]Unacheka?? Ushawahi ku-imagine couple yetu ya vibogoyo??
Aya boss[emoji4][emoji4]Usisahau anuani ya inakotoka[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wait kwanza, nije????
Hahahahahahahahaha. Sitaki kukuuliza nani ni fisi na nani ni nyamaYan huenda alishafanya Kaz kambin kwa mapadri maana sio kwa wema huu fisi kumpa fisi mwenzie nyama [emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni baba paroko ndiyo maana ya wema huu hahahahaha
Hahahahaahah