Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,824
- 183,022
We mkaka utawapata!!!!![emoji134][emoji134][emoji134]Mkuu, tutawapata/watawapata tu wa huku. Kufahamiana na total stranger halafu mkafall huwa ni tamu sana. Sijui dada zetu wanakwama wapi.
Kwahiyo ulotupata hatukutoshi bado upo mawindoni[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]