Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,369
- 176,203
Nipo madongo kuinuka huku bwanaHahah...tafuta VodaShop wakusaidie

Watukutu wame-quench kiu yako, dadeq!!Huh!! Hii kiu niwache nayo tu. Nina matumizi nayo.


Hapana mkwe ngoja niwape za uso kwa huwa mnazingua sana huku jukwaani, piga sana vijembe...Teh teh teeeeeeeh!!
Mkwe hebu tuwache kwanza, usijifanye hujui![]()
Hahaha humu bwanaaa
Kuna siku nilipigwa ban, then nikapewa id ya kike na dogo mmoja niingie nayo jf. Niloyakuta pm nilicheka nikabaki "hiiiiiiiiii"![]()





Mkuu, tutawapata/watawapata tu wa huku. Kufahamiana na total stranger halafu mkafall huwa ni tamu sana. Sijui dada zetu wanakwama wapi.Hapana mkwe ngoja niwape za uso kwa huwa mnazingua sana huku jukwaani, piga sana vijembe...
Halafu mara paaap tunakutana na nyuziii za wavulana wanajisifia, sababu tu jukwaani huku mbele mnakuwa wakali kila mdada ni St.Theresa...
Sasa mkipatwa na wavulana huko wanajiona kama wamefaulu mtihani wa kuingia Cambridge au Yale, wanaishia kuja kupiga vifua vyao huku mbele na nyuzi zao sijui za kimasihara etc...
Anyway ngoja niachane nayo mkwe, huwa hayanihusu sana
Hivi kwani huko off JF huwa wanaume hawawatokei?
Kwa nini ikiwa ni wa JF inakuwa tofauti? I guess it aint something of a big deal as long as anayekutokea sio roboti ni mtu...na huwa hakuna mipaka ya namna mtu anavutiwa na mtu mwingine
Just saying...
CC Karma
Customer care za Bongo huwa hawapo serious sana...Wapigie voda uongee na customer care kitengo cha m-pesa. Watakuuliza vimaswali including mwaka wa kuzaliwa n.k
Teh teh teeeeeeeh!!
Mkwe hebu tuwache kwanza, usijifanye hujui![]()
Hahaha...Aah!! Ya kiume nitakutana na akina James wanivurugie siku. Sitaki![]()


Pole...Nipo madongo kuinuka huku bwana![]()




Ngoja waendelee kukutana na mabanzi wanyooshwe...Mkuu, tutawapata/watawapata tu wa huku. Kufahamiana na total stranger halafu mkafall huwa ni tamu sana. Sijui dada zetu wanakwama wapi.
Kwahiyo ni mwaka wa kuzaliwa tu?
Maana walinifungiaga namba yangu ya airtel kisa sikumbuki kiasi nilichokuwa nacho airtel money![]()
Tatizo JF mtu akikutokea usiishie kuwaza kuhusu kutokewa tu,, watu wako kazini humu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Namba ya kitambulisho ulichosajilia hiyo sim card watakuomba na mara nyingi hata kama kitambulisho ndiyo chenyewe watakuambia siyo chenyewe,, halafu wanakuambia nenda whatever shop ukahudumiwe yaani basi tu sijui wanapenda kutuona madukani mwao mule..
Sent using Jamii Forums mobile app