Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486




Bro Kama una pozi za kipolisi hiviView attachment 1294939
Mchana mwema wazee
Ndio, huoni kijana anapendeza kuwashinda nyie dada zetu. Ngozi nyororo duh!!Nyie mnachukua za mama zenu![]()
Asante, umetupeleka home!!
Nakushangaa we mdada, usinikwoti!!Na wewe huruhusiwi, kwanini umenikwoti?



daah salama kabisa sijui wewe kuhani mwenzangu,, vipi umepitiamo hekaluni asubuhi hii??
Acha tu. Umeamkaje kuhani mwenzangu
C.c Jael
Fungua ya kiume tubadulishaneNipe moja basi.
Fungua ya kiume tubadulishane





Someone isnt fairNdio, huoni kijana anapendeza kuwashinda nyie dada zetu. Ngozi nyororo duh!!






Njaa ipi, njoo ule na kunywa ushibe!!We mkaka niwache kwanza nina njaa![]()