Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Abeee Shem!!
Nakazia mimiTatizo JF mtu akikutokea usiishie kuwaza kuhusu kutokewa tu,, watu wako kazini humu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiwooo
Acha tu.



Njoo unichukue mkwe...Mkwe utoke tu huko kwa waswahili, wananiharibia mkwe haki tena![]()
Mkwe kumbe unajua, sasa ulikuwa unashangaa nini?
Nikapiga akapokea mkaka ana sauti ya kiume tamuuuu, hadi nimetamani shida isiishe![]()
Niepushwe na hiki kikombe!!



yani
Acha tu.
Wakitaka ukope anatumwa huyo mkaka, wakati wa kudaiwa ndio tunatumwa sisi sasa. Lazima ulipe![]()
Usiombe samahani mkuu!!
just tryin to play Jael's game....nothin aint true