Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,815
- 182,997
Njaa ile nyingine, kwako sikujiiii, uniwache[emoji57]Njaa ipi, njoo ule na kunywa ushibe!!
Njaa ile nyingine, kwako sikujiiii, uniwache[emoji57]Njaa ipi, njoo ule na kunywa ushibe!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Could be "god" I guess!![emoji23][emoji23]
Kaa na njaa yako!! Ndo maana nimeacha kukupendaNjaa ile nyingine, kwako sikujiiii, uniwache[emoji57]
CC Karma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna siku nilipigwa ban, then nikapewa id ya kike na dogo mmoja niingie nayo jf. Niloyakuta pm nilicheka nikabaki "hiiiiiiiiii"[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kaa na njaa yako!! Ndo maana nimeacha kukupenda
Ndo natoka hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah salama kabisa sijui wewe kuhani mwenzangu,, vipi umepitiamo hekaluni asubuhi hii??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hautaki nitii kiu yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sababu ni nini?
Nyie makuhani hamjambo?
Teh teh teeeeeeeh!!Hivi kwani huko off JF huwa wanaume hawawatokei?
Kwa nini ikiwa ni wa JF inakuwa tofauti? I guess it aint something of a big deal as long as anayekutokea sio roboti ni mtu...na huwa hakuna mipaka ya namna mtu anavutiwa na mtu mwingine
Just saying...
CC Karma
Huh!! Hii kiu niwache nayo tu. Nina matumizi nayo.Hautaki nitii kiu yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]
We nunda niwachee mtoto wa mwanamke mwenzio[emoji57]Hatujambo nunda; sijui wewe
Wapigie voda uongee na customer care kitengo cha m-pesa. Watakuuliza vimaswali including mwaka wa kuzaliwa n.kEti wandugu kama hukumbuki password ya mpesa unafanya ni gani?
Watu8 hii inakuhusu maana unaacha namba ya mkweo bila kuitumia pesa hadi nasahau password[emoji134][emoji134][emoji134]
Kwahiyo ni mwaka wa kuzaliwa tu?Wapigie voda uongee na customer care kitengo cha m-pesa. Watakuuliza vimaswali including mwaka wa kuzaliwa n.k
Kwahiyo ni mwaka wa kuzaliwa tu?
Maana walinifungiaga namba yangu ya airtel kisa sikumbuki kiasi nilichokuwa nacho airtel money[emoji134]
Hahah we jaribu...never say never[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ya kiume hata hainogi, huoni nanyi mnafungua za kike!
Oooh! Senkiyu nunda.Maswali mengine siyakumbuki; hilo la mwaka ndo nalikumbuka. Si maswali magumu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I love you too.
Aah!! Ya kiume nitakutana na akina James wanivurugie siku. Sitaki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahah we jaribu...never say never