Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,797
- 182,967
Nipe moja basi.Hahah...kausha wewe!!!
Nipe moja basi.Hahah...kausha wewe!!!
Wewe tema mate chini, hizo ni baraka sio vituko
Mkuu, huyu ni wewe? Hii sura huenda ukawazidi hata dada zetu daah!!
Si bora hiyo, akisafiri siku anarudi nalia vilio vyote kama ni vya wiki au mwezi kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanafall? Kakudanganya nani wanafall? Wako kazini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna siku nilipigwa ban, then nikapewa id ya kike na dogo mmoja niingie nayo jf. Niloyakuta pm nilicheka nikabaki "hiiiiiiiiii"[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani ukizaliwa Namtumbo DNA inabadilika?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaha yani kama hadi hizo ni baraka basi heri mniwache nibaki na laana zangu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, huyu ni wewe? Hii sura huenda ukawazidi hata dada zetu daah!!
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Tabia yenu ya kuonyesha mkila mimi siipendi, mnanipa njaa mapema. Basi fanyeni kuonyesha mkienda kule[emoji117][emoji117][emoji117], "action and reaction are equal but opposite"
Sasa imagine na ka uzaramo kidogo[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Ndiyo,, sisi tuliozaliwa London tuna kauzungu kidogo men.. you know what I'm saying [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nini wakaka mnakuwa warembo kutuzidi[emoji57][emoji57][emoji57]Mkuu, huyu ni wewe? Hii sura huenda ukawazidi hata dada zetu daah!!
Huruhusiwi kunikwoti[emoji23][emoji23][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Tatizo mnachukua genes za uncles wenu, sisi tufanyaje[emoji2307]Ndio nini wakaka mnakuwa warembo kutuzidi[emoji57][emoji57][emoji57]
Sasa imagine na ka uzaramo kidogo[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Wafwaaaaa[emoji1787]
Na wewe huruhusiwi, kwanini umenikwoti?Huruhusiwi kunikwoti[emoji23][emoji23]
Nyie mnachukua za mama zenu[emoji134][emoji134][emoji134]Tatizo mnachukua genes za uncles wenu, sisi tufanyaje[emoji2307]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muone kule mekununia
Sent using Jamii Forums mobile app