Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Safi Sumbai
Mbona ufananii na hizi kelele zako mpendwaView attachment 1294939
Mchana mwema wazee
Raha si yako banah hahahahah bili juu yako
Nakutosaje jamani Kekundu, we namie ni kama sahani na kijiko daima pamoja .Ila hako ka Safari ndogo kenyewe tu ni shida! Balimi usiguse huko bia za ki hardcore sana..Waachie wamama wa shoka![emoji23][emoji23]umenitosa mie,, yaani hiyo wasema ngumu ningepiga niko na balimi je..[emoji85][emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unastua dadake[emoji3166][emoji3166] Depal karibu tupige tarumbetaView attachment 1294931
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah kwanini umewaza hivyoMbona ufananii na hizi kelele zako mpendwa
Sisi wa samaki tule samakiNaona unastua dadake
Ilitakiwa uwe na sura ngumu mkuuHahahah kwanini umewaza hivyo
Nawe sio mshirika mpendwa wa safariSisi wa samaki tule samaki
😍😍😍 Sweetlady
Shee bangi umeanza lini?
Ulimfisadi nani mpaka ukajikuta lokapu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] duuh pole sana,, mimi nilishalala sitakishari pale..
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣 mbona sura ngumu sana hio! Au unaiangalia kwa wasiwasiIlitakiwa uwe na sura ngumu mkuu
Acha tu mpendwa yaani hatari bora mwaka unaisha tujaribu bahati mwaka unaofatia panapo uhai na uzima kama kutakuwa na uhafadhali.
Ooooh poor TTCL!!Mgawanyo wa umiliki wa soko la mawasiliano ya simu za mkononi nchini #Tanzania hadi kufikia Juni 2019
1. Vodacom Tanzania 33%
2. Tigo Tanzania 27%
3. Airtel Tanzania 26%
4. Halotel 10%
5. TTCL 1%
6. Zantel 3%
7. Smile 0.002%
Data: TCRA Swahili Times on Twitter View attachment 1294650
Jr[emoji769]
Mbona ufananii na hizi kelele zako mpendwa
Wee dada 😅😅😅 unatumia vitu vizito[emoji3166][emoji3166] Depal karibu tupige tarumbetaView attachment 1294931
Sent using Jamii Forums mobile app