Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Kule sijaona hata mojana wewe nitakudai zote zilizowekwa na kufutwa kule kwenye uzi wa kupeana likes,, deal??
Sent using Jamii Forums mobile app




Sent using Jamii Forums mobile app
Kule sijaona hata mojana wewe nitakudai zote zilizowekwa na kufutwa kule kwenye uzi wa kupeana likes,, deal??
Sent using Jamii Forums mobile app







DahAnha okay unajitia unavuta bangi eenh?? Sasa mwenzio natafuna mirungi!! Hata mie za huku sijaziona kabisaaa yaani
Sent using Jamii Forums mobile app








Wewe ndo yupi hapo? Niko tayari kumlipa mtu aniondolee hizo emoji ili nikuone vizuri



Hebu weka ,SAA hz usiku haoni mtu


Usiku sa hz ,ndio wkt muafaka wa kuweka picha zenu full
MTC | 101|![]()
Mshawishi Karma ashushe mzigo mida ya wanga hiiUsiku sa hz ,ndio wkt muafaka wa kuweka picha zenu full
MTC | 101|![]()
Umeona eeh

Aise hongera mno,, mie wengine huwa nawashawishi waingie kabisa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuja kuweka mwenyeweHebu weka ,SAA hz usiku haoni mtu
MTC | 101|![]()