Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mgawanyo wa umiliki wa soko la mawasiliano ya simu za mkononi nchini #Tanzania hadi kufikia Juni 2019

1. Vodacom Tanzania 33%
2. Tigo Tanzania 27%
3. Airtel Tanzania 26%
4. Halotel 10%
5. TTCL 1%
6. Zantel 3%
7. Smile 0.002%

Data: TCRA Swahili Times on Twitter
tapatalk_1576559557871.jpeg


Jr[emoji769]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi ni huyo mama hapo niko na mwanangu,, halafu wewe unapenda kuona za wenzio tu ila zako hautaki tuone haya nakuja kule tutumiane mkono kwa mkono..
Wewe ndo yupi hapo? Niko tayari kumlipa mtu aniondolee hizo emoji ili nikuone vizuri [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom