Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,776
- 26,917
Uongoo!! Ulizamia jobegi wewe, 😂😂😂
Ni katika kutafuta
Green pasture
Uongoo!! Ulizamia jobegi wewe, 😂😂😂
Nakuheshimu sana sis. Naomba unifafanulie hapo nilipo-bold. Is this an hominem attack? Umeniona wapi nimedhalilisha mtu?Huaga mnapata faida gani kwenye kudhalilisha watu?
Sijawahi kuelewa mantiki ya mtu A kudhalilisha mtu B
Hua naona ni ushamba
Malezi mabaya kukosa ustarabu na wivu uliochanganyikana na chuki
Nakuheshimu pia TonyNakuheshimu sana sis. Naomba unifafanulie hapo nilipo-bold. Is this an hominem attack? Umeniona wapi nimedhalilisha mtu?
Ukinijibu then .........
Case closed. Sina hata haja ya kusema nilichotaka kusema...labda tu kwamba kila kitu tunachofanya kina consequences zake (+ve and -ve). Tuwe tayari kukabili consequences za maamuzi na tabia zetu maana ...apandacho mtu ndicho atakachovuna (Wagalatia 6:7)Kwenye hii dunia hakuna mtu perfect
Tuache watu waishi maisha yao
Kwa sababu umetumia bible na mimi natumia hiyo kukujibuCase closed. Sina hata haja ya kusema nilichotaka kusema...labda tu kwamba kila kitu tunachofanya kina consequences zake (+ve and -ve). Tuwe tayari kukabili consequences za maamuzi na tabia zetu maana ...apandacho mtu ndicho atakachovuna (Wagalatia 6:7)
Stay blessed! 🙏🏿
You are desperately trying to create a mountain out of an anthill...tena out of context!Kwa sababu umetumia bible na mimi natumia hiyo kukujibu
1 Yohana inasema 8:7 – Yesu alisema: Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kumtupia jiwe.
2 Mathayo inasema 7:3-5 – Yesu anatufundisha tusione makosa ya wengine huku tukipuuza makosa yetu wenyewe
Tusitoe kibanzi katika jicho la mwenzetu wakati tuna boriti katika jicho letu
3Warumi inasema 2:1 Inatukumbusha kwamba tunapowahukumu wengine kwa mambo tunayoyafanya sisi wenyewe tunajihukumu wenyewe
4.
Luka 6:37 – Msihukumu, nanyi hamtahukumiwa msilaumu nanyi hamtalaumiwa sameheni, nanyi mtasamehewa
Tony Kabla ya kumhukumu mtu mwingine tunapaswa kujiangalia sisi m
wenyewe tusijipe nafasi ya kuwa mqhakimu ya maisha ya wengine kana kwamba sisi hatuna mapungufu
Kila mmoja wetu ana mapungufu
Mapungufu ya wengine yanapoanikwa hadharani isiwe sababu ya kuanza kujivika utakatifu kwa sababu mapungufu yetu bado yapo gizani
Narudia tena sijawahi kuelewa watu wanaosherekea maanguko ya wengine kabisa watu wa namna hii wivu chuki roho mbaya na ushetani ni marafiki hivi🤞
Mkuu mie nishamaliza nilichotaka kusema na kawaida yanguYou are desperately trying to create a mountain out of an anthill...tena out of context!
We should expect consequences for our actions...and it has nothing to do with being self righteous or judging others!
Kwamba wewe na Narcistic Personality Disorder yako utoke huko uje hapa utambe kuwa umejipata. Matawi ya juu. Wewe ndiyo wewe. Michongo ya pesa ndefu ni wewe. Kwamba wengine hawajui kutafuta...halafu baadaye ugundulike kuwa ni uwongo. Hao uliokuwa unawadogosha wakikugeuzia kibao watakuwa wanakosea? Kwa misingi ipi?
Siungi mkono udhalilishaji na bullying ya aina yo yote kwa mtu ye yote lakini kuna wengine kabisa unashindwa hata kuwatetea. Kama hawa ma-celebrity wetu. Mtu anasema kuwa ana miaka sita hajawahi kula ugali maana ni chakula cha mifugo; na matumizi yake kwa siku ni milioni 3+. Halafu akiumwa au kupata kesi anaomba achangiwe. Watu wakianza kumzodoa utawalaumu? Huyu atakuwa havuni alichopanda?
Ndivyo alivyokuwa Manengelo. Kila siku kujimwambafai amejipata na kudhalilisha wengine. Kumbe jamaa wanamlia timing tu. Yes...wakati mwingine tukubali kuvuna tulichopanda! Na kama hatupendi hayo mavuno basi tubadilishe mbegu zetu na tupande kwa uangalifu.
Na hilo la watu kushangilia maanguko ya wengine wala lisikupe shida. Linaelezeka vizuri tu katika misingi ya nafsiya, Saikolojia na hata Uchumi. Ni kawaida ya binadamu - struggle for existence and survival of the fittest - overtly or covertly!
Niwekee moja hapa 🥳niendelee na majukumu ya kila siku🤣🔥🔥🔥🔥😁Unapenda picha wewe
Utaikuta pm bila shakaNiwekee moja hapa 🥳niendelee na majukumu ya kila siku🤣🔥🔥🔥🔥😁
Weka hapa tufaidike wote🤗Utaikuta pm bila shaka
Ili ninyakuliweWeka hapa tufaidike wote🤗
😹Huna uwezo wa kuresist?Ili ninyakuliwe
Wachaa wee! Sahivi uko wapii??Ni katika kutafuta
Green pasture
Mambo ya free buibui nan anayataka😹Huna uwezo wa kuresist?
😹😹Mambo ya free buibui nan anayataka
wew nakupa bure utalipia pesa ya delivery pekeake😍How.much
yani sio kupiga kura tu, nitashiriki mpka kwenye uhamasishaji🤣😹😹siku ukitokea nakuja humu kuwaomba mnipigie kura moja kwa moja
Hiyo bibilia yenyewe inapinga ushoga mahi kama unataka kujadili kwa ktumia bibilia mistari inayokataza hiyo hapo chiniNaomba kuchangia km haya ndio maelezo ya kwenye bible.
Na hawa Waja wanao sakama Mashoga? Wao hawana dhambi? Au mashoga hawapaswi kuwa na maisha yao?
Naomba kueleweshwa plz mahi.