cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,505
- 203,082
Na ukiingia umekwishaaa!! ๐๐๐๐JF mwenyewe ukiwa mjinga unaingia kwenye mfumo wa wakora..!!
Na ukiingia umekwishaaa!! ๐๐๐๐JF mwenyewe ukiwa mjinga unaingia kwenye mfumo wa wakora..!!
Si ule boga lako we kichaa nini..!!Kitumbua kazi yake ni kuliwa, mambo yasiwe mengi, unatoa kitumbua ama hutoi?
Yani uliingia kwenye mfumo na haukupholewq๐๐๐๐ yaani kwa jinsi nilivyo lele lele wanatamani sana kunikamata, lakinii wapiiii?
Babu miga hanisahau kamwee, ๐๐๐
Napokea kwa jina la Yesu ๐Wewe pesa unayo.
๐๐๐ Nikikumbuka Babu miga, mwenzenu nacheka hadi kesho.๐น๐น๐น Tunalipaisha juu kwa juu
Basi naomba nikuone mimiUnasemaje kijana
Atacheza kibao kata hiyo siku ๐น๐นShangaa hapo, mbona atatamani JF nzima siku hiyo nyuzi zote aanzishe yeye tu.
๐๐๐
Basi tufanye elfu moja kabisaaa ๐นMiatano bana! Afu naiona kama jana tu
Mie sijawahi ingia kwenye mfumo humu.Yani uliingia kwenye mfumo na haukupholewq
Unataka kuona niniBasi naomba nikuone mimi
Atakua na kazi ya rusha roho humu, alooohAtacheza kibao kata hiyo siku ๐น๐น
Umekwisha na huwezi tena kutamba ๐น๐นNa ukiingia umekwishaaa!! ๐๐๐๐
Nataka ugeuke tuUnataka kuona nini
๐๐๐Umekwisha na huwezi tena kutamba ๐น๐น
Au sioNataka ugeuke tu
Asante sana ccy, unaendeleaje?
Tumpe vanga akatike vizuri ๐น๐นAtakua na kazi ya rusha roho humu, aloooh
๐๐๐
Haha!! Fanya ivoAu sio
๐๐๐ uduguu unanichekesha shughuli ya juzi, vidampa walitaradadi na khanga full kunengua nyonga, mabasha wao wanawatazama runinganiTumpe vanga akatike vizuri ๐น๐น
๐๐๐๐ yaani sipati picha angenikamataa, Alooooh.Babu miga sio shida zake, ni kuwapelekea moto na kuwafotoa mwanzo mwisho ๐น๐น๐น