Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 4,120
- 9,979
Si unajua sahivi mi kwako sipingi;Noma sana
Tupia basi fotoo😊
As instructed bey
Si unajua sahivi mi kwako sipingi;Noma sana
Tupia basi fotoo😊
Mchuchu una bahati wewe! Una lichino halijui hata kutangaza; jipige kifua hebuNakazia 😹
😂😂😂😂ehe nipeni mrejesho je mlifikia wapi?
spidernyoka huyu mallerina ni koloni lako la kitambo au ulikoswa ushahidi😅😅
😹😹siku ukitokea nakuja humu kuwaomba mnipigie kura moja kwa moja
Nasubiri nimekaa kwa utuoSi unajua sahivi mi kwako sipingi;
As instructed bey
How.muchhivi bado kuna watu wanaambukiza/kuambukizwa UTI bila kujua?, au wengine wanapoteza muda kwenda maabara kupima UTI?,, ishi kidigital zaidi😊
🤣🤣🤣una mambo ww😹😹😹 Unamsimanga bure katekista mtoto halali na hela kumbe wote mpo sawa..!!
Haya weka pic spider aone ni wewe au kakufananisha?
🤣🤣🤣kwanini umharibie uzi wakeNimefika ndo naingia nimetoka kwa da Mau 😹😹
Haya kuna mpya gani huku?
Nilikuwag namfananisha lamomy na Demis sanaaaaa ila kumbe watu tofauti..Kweli hakuna wageni mpaka Mallerina nilikua najua ni Gen z wa jf mpya naye anamjua demiss.
Sema kipindi kile aliijua sana kuichangamsha jf! Alikua hapoi.
Alikua haringi dada wa watu alikua mcheshi kwa Kila mtu! Mara ya mwisho aliolowa na Godume ndoa haikuchukua hata siku saba wakaachana.
Ndiyo mzee wa kilenge Mshana Jr akamuopoa nakumuweka ndani;
😂😂😂😂 Noumaa sanaaa!!Kwa Experiance yangu ukishakubali kuliwa jf we kua low key tu!! Unakua huna jipya!!
Humu waendelee kugawa at their own risk. Humu watu wana sifa unakuta umeshusha zako Uzi wako mkali huko intelligence au siasani.
Anakuja mtu anakuja mtu anakuambia hamna kitu Malaya tu!! Hapo kama umeshaliwa kaa kwa kutulia tu usijitutumue ukijitumumua kumbe mtu kashamwagia ma Kila kitu yake.
Kikubwa tunzeni hizo maliasili zenu mlizobarikiwa
😂😂😂 chino unapigaje leo kwani? Awwww, mambo nayoyapenda hayaa.Mimi binafsi yangu sijawahi zalilisha kiumbe chochote humu ndani.
Ila kinachowaponza ke wengi humu ni ulimbukeni wa mahusiano; hapa chino nisiwe mnafiki;
Na me wengi humu ndani ni washamba wa_ k_!! Akikula lazima aje ajimwambafy;
We mwenyewe unajua ukiliwa faili lako fasta anatumiwa shoga Ako lamomy na 100likes ni kukaa kiturist tu😂😂😂 chino unapigaje leo kwani? Awwww, mambo nayoyapenda hayaa.
Nasikia kuna member humu umempa ujauzito..Mziki wa Manengelo ulikua ni wa 🔥🔥🔥
JF ilizizima ile siku, ugomvi ulianza baada ya Manengelo kutamba kuwa ametoka kuuza madini na kupata 140M, basi full kutamba, kumbe kuna jamaa humu alikua na rafiki traffic anasimama kibaha kwa mathias na ndio sponsa wake huyo manengelo, na waliwahi kumpeleka kwenye mapagale huko Morogoro Tanesco Nyuma ya Chuo cha MUM ili wakamlw mande, wakaamua kumuacha tu na kumsamehe. Bhana wee,
Kiliwaka hapo, full maubuyu anajifanya mchaga wa Moshi, kumbe mpogoro wa Ifakara
😂😂😂😂 Alooooooh.
Faili lake ninalo...We mwenyewe unajua ukiliwa faili lako fasta anatumiwa shoga Ako lamomy na 100likes ni kukaa kiturist tu
😂😂😂😂 Chino kwani unanichukuliaje mie? Si wangeshavujisha kitamboooo.We mwenyewe unajua ukiliwa faili lako fasta anatumiwa shoga Ako lamomy na 100likes ni kukaa kiturist tu
Ndio nilikua nasema huko juu humu ukiliwa acha sifa kaa kwa kutulia tu maana watu wa jf vichwa vyao wanavijua waolMziki wa Manengelo ulikua ni wa 🔥🔥🔥
JF ilizizima ile siku, ugomvi ulianza baada ya Manengelo kutamba kuwa ametoka kuuza madini na kupata 140M, basi full kutamba, kumbe kuna jamaa humu alikua na rafiki traffic anasimama kibaha kwa mathias na ndio sponsa wake huyo manengelo, na waliwahi kumpeleka kwenye mapagale huko Morogoro Tanesco Nyuma ya Chuo cha MUM ili wakamlw mande, wakaamua kumuacha tu na kumsamehe. Bhana wee,
Kiliwaka hapo, full maubuyu anajifanya mchaga wa Moshi, kumbe mpogoro wa Ifakara
😂😂😂😂 Alooooooh.
😂😂😂😂 JF ni kukaa kimasta tu. Ukiyatindinganyaa basi kinakulambaaa alooo.Ndio nilikua nasema huko juu humu ukiliwa acha sifa kaa kwa kutulia tu maana watu wa jf vichwa vyao wanavijua waol