Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹😹 Sijamkuta, huyo tungekua tunakesha nahisi..!!

Kumbe kilikua kisu, JF wana matatizo ni wivu wa member unawasumbua tu!
Watu wali mpicture kama wema sepetu flani!!

Na kihuhalisia angekua yuko economically vizuri alikua anaweza kua na huo muonekano.

Mademu wengi walionona wanahudumiwa vizuri ndiomana wanapata muonekano
 
Kilichomponza Demiss nasikia ni mashauzi na kujiona kila kitu anajua. Anasema ana good life lakini anaburuzwa kwenye lodge za 10K na mabaharia wa JF. Hapo ndilo alipounguzia picha. Sawa tu na mwingine wa kuitwa Manengelo aka Wangari Maathai. Huyu mpaka na picha zake za uchi zilivuja nasikia. Anajifanya anajua kila kitu michongo ya hela ndefu kumbe wa kawaida tu. Halafu anamsema mumewe kuwa ni mlevi na hana nguvu za kiume dah! Naye ilibidi apogee mazima labda kama akirudi kwa ID mpya.

Mashauzi ndo huwa yanawaponza watu lakini mtu ukikaa kwenye uhalisia wala hakuna mtu atakusumbua 😂😂😂
Huaga mnapata faida gani kwenye kudhalilisha watu?

Sijawahi kuelewa mantiki ya mtu A kudhalilisha mtu B

Hua naona ni ushamba
Malezi mabaya kukosa ustarabu na wivu uliochanganyikana na chuki
 
Back
Top Bottom