Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

❤️🤣🤣🤣 nina support moja tyr ya uhakika
si ndiwoooo ikitokea tumepiga kura mimi na wew alafu kwenye matokeo ikaonekana kura moja basi ujue hiyo ni yangu🤗😆😆😆


🤣🤣nipe mbili na ya shemeji yako

agaaaah iliyopo kweny offer ni moja tu huyo ba mjengo mwambie alipie yake😃😃
 
Haya maelezo yana jicontradict, unasema bible inakataza ushoga, yess ni sawa, kwani Imekataza ushoga tu?? Si kuna uzinzi, uasherati, uuaji, etc.

Nilichokidai mie ni hizo aya zako ulizozichukua kwenye bible, za kukataza mtu kuhukumu mwigine ili hali naye ana dhambi anafanya na sio msafi.

Hebu tutoke kwenye dini na bible, tuje kwenye asili km unavyodai km ****** unatoa takamwili na kazi hiyo, vipi uboo na **** zinazotoa mkojo hii sio takamwili au nini?? Naomba twende taratibu mahi, huwa napenda kujifunza na kupata maarifa mapya.
Sina nafasi mwaya saivi
 
Yani mtu kashindwa kujiheshimu mwenyewe katuma pic lake la papa kwa mwanaume kisha huyo mwanaume akalivujisha ndo udhalilishaji?

Hiko hivi mpaka wewe umetuma kwa mwanaume uchi wako hapo tayari wewe unakua umejidhalilisha mwenyewe, wengine wakisambaza inakua ni muendelezo wa ulichokianzisha..!!

Na Ukiona mwanaume kaamua kuvujisha ujue kakuchukulia malaya na kosa ni lako kumuamini mtu ambaye humjui vizuri..!!
Haya poa
 
Kwahiyo biblia inafundisha watu kunyegeshana kwa kutumiana nudes zao?

Hakuna chuki wala roho mbaya kwa mtu aliyeshindwa kujiheshimu mwenyewe..!!

Yani nyie mkituma tukilipata si tunaruka nalo si mmeshindwa kutunza siri wenyewe..!! 😹😹😹
Sawa mama kila la kheri
Yalikua maoni yangu binafsi sidhani kama naweza kuzuia mtu kufanya kitu anachoona ni sahihi
 
Haya maelezo yana jicontradict, unasema bible inakataza ushoga, yess ni sawa, kwani Imekataza ushoga tu?? Si kuna uzinzi, uasherati, uuaji, etc.

Nilichokidai mie ni hizo aya zako ulizozichukua kwenye bible, za kukataza mtu kuhukumu mwigine ili hali naye ana dhambi anafanya na sio msafi.

Hebu tutoke kwenye dini na bible, tuje kwenye asili km unavyodai km ****** unatoa takamwili na kazi hiyo, vipi uboo na **** zinazotoa mkojo hii sio takamwili au nini?? Naomba twende taratibu mahi, huwa napenda kujifunza na kupata maarifa mapya.
Mjadala huu naufunga!!
 
You are desperately trying to create a mountain out of an anthill...tena out of context!

We should expect consequences for our actions...and it has nothing to do with being self righteous or judging others!

Kwamba wewe na Narcistic Personality Disorder yako utoke huko uje hapa utambe kuwa umejipata. Matawi ya juu. Wewe ndiyo wewe. Michongo ya pesa ndefu ni wewe. Kwamba wengine hawajui kutafuta...halafu baadaye ugundulike kuwa ni uwongo. Hao uliokuwa unawadogosha wakikugeuzia kibao watakuwa wanakosea? Kwa misingi ipi?

Siungi mkono udhalilishaji na bullying ya aina yo yote kwa mtu ye yote lakini kuna wengine kabisa unashindwa hata kuwatetea. Kama hawa ma-celebrity wetu. Mtu anasema kuwa ana miaka sita hajawahi kula ugali maana ni chakula cha mifugo; na matumizi yake kwa siku ni milioni 3+. Halafu akiumwa au kupata kesi anaomba achangiwe. Watu wakianza kumzodoa utawalaumu? Huyu atakuwa havuni alichopanda?

Ndivyo alivyokuwa Manengelo. Kila siku kujimwambafai amejipata na kudhalilisha wengine. Kumbe jamaa wanamlia timing tu. Yes...wakati mwingine tukubali kuvuna tulichopanda! Na kama hatupendi hayo mavuno basi tubadilishe mbegu zetu na tupande kwa uangalifu.

Na hilo la watu kushangilia maanguko ya wengine wala lisikupe shida. Linaelezeka vizuri tu katika misingi ya nafsiya, Saikolojia na hata Uchumi. Ni kawaida ya binadamu - struggle for existence and survival of the fittest - overtly or covertly!
Wewe ukilipata huko nipasie pm bana 😹

Mtu akishindwa kujiheshimu mwenyewe si kina nani tumuheshimu? 😹😹

Wanawake tunaongoza sana kujitoa ufahamu, unakuta huko pm mdada kasambaza papa lake kwa member tofauti tofauti aliodate nao. Wakilivujisha lawama wanatupiwa wanaume as if wao ndo walimtuma asambaze..!!

Wanawake sehemu zetu za siri ziko tofauti na wanaume, mwanaume hata.. yake ikivuja haimuathiri chochote..!!

Wanawake sehemu zetu za siri ni mwiko kuonekana hovyo, sijui watu hawana wazazi wanajilea wenyewe? Mi nashindwa kuelewa kabisaa..!!
 
Back
Top Bottom