Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hey selfikaz!!!
Nilikua buzzy na heka heka za sherehe na shughuli pambe inayolalamikiwa na waja kwa serikali km ilipewa kibali au laah.

Nikiwa km mwenyekiti wa kamati ya sherehe, Jambo lilifana kuliko ilivyotarajiwa. Kiufupi jambo lilikuwepo na lilitambwa nalo.

Sasa nimetulia, Selfika na iendelee!!
🔥🔥
 
😹😹😹 JF. Hakunaga wageni
Kweli hakuna wageni mpaka Mallerina nilikua najua ni Gen z wa jf mpya naye anamjua demiss.

Sema kipindi kile aliijua sana kuichangamsha jf! Alikua hapoi.

Alikua haringi dada wa watu alikua mcheshi kwa Kila mtu! Mara ya mwisho aliolowa na Godume ndoa haikuchukua hata siku saba wakaachana.

Ndiyo mzee wa kilenge Mshana Jr akamuopoa nakumuweka ndani;
 
JF ni msitu wa Amazon 😹😹

Kwanini waliachana ndani ya muda mfupi hivyo?

Kwahiyo ankal mshana ndo wife wake now?
 
Godume ulimkuta?
Nahisi huyu ungegombana nae daily alikuwa anawapiga spana za kutosha madada wa jf kipindi kile.

Mshana ndo anajua demiss yuko baada ya harusi yao ya kilingeni ndio mtoto wa watu akapotea. Sababu kama ni picha picha zilizowekwa jf kiuhalizia alikua ni mzuri kwa level yake picha zile sikuona shida kabisa; labda expectation za jf walijua ni kama zailissa flani ndiomana wengi wakambully ilikihualisia she was cute
 
Muone huyu lol 😆
Binti si nilisema umbeya haukupendezi
Mdada mwenye mapesaa yako heb muache shem darling wangu

Halafu chivundu kasema hajui vya kunyonga wala vya kuchinja😅😅
😹😹😹 Pesa nazitoa wapi?
Hapa ndo naingia leo nilikua busy kuuza vijora..!!

Chivundu anakutega muongo huyo..!!
 
Godume ulimkuta?
Nahisi huyu ungegombana nae daily alikuwa anawapiga spana za kutosha madada wa jf kipindi kile.

Mshana ndo anajua demiss yuko baada ya harusi yao ya kilingeni ndio mtoto wa watu akapotea. Sababu kama ni picha picha zilizowekwa jf kiuhalizia alikua ni mzuri kwa level yake picha zile sikuona shida kabisa; labda expectation za jf walijua ni kama zailissa flani ndiomana wengi wakambully ilikihualisia she was cute
😹😹😹 Sijamkuta, huyo tungekua tunakesha nahisi..!!

Kumbe kilikua kisu, JF wana matatizo ni wivu wa member unawasumbua tu!
 
Back
Top Bottom