Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,420
- 104,233
Kumekuchaaa 😹😹Naomba kuchangia km haya ndio maelezo ya kwenye bible.
Na hawa Waja wanao sakama Mashoga? Wao hawana dhambi? Au mashoga hawapaswi kuwa na maisha yao?
Naomba kueleweshwa plz mahi.
Kumekuchaaa 😹😹Naomba kuchangia km haya ndio maelezo ya kwenye bible.
Na hawa Waja wanao sakama Mashoga? Wao hawana dhambi? Au mashoga hawapaswi kuwa na maisha yao?
Naomba kueleweshwa plz mahi.
😹😹😹Kesi ishakua ngumu hii!
Ngoja aje Godfrey Tumaini_kapafona
Huwa unamtetea sana aunt coca , ni mmeo...Anza na kilichokutotoa..!!
😹😹😹 Hizi cross-examination mbona za ghafla sana?Haya maelezo yana jicontradict, unasema bible inakataza ushoga, yess ni sawa, kwani Imekataza ushoga tu?? Si kuna uzinzi, uasherati, uuaji, etc.
Nilichokidai mie ni hizo aya zako ulizozichukua kwenye bible, za kukataza mtu kuhukumu mwigine ili hali naye ana dhambi anafanya na sio msafi.
Hebu tutoke kwenye dini na bible, tuje kwenye asili km unavyodai km ****** unatoa takamwili na kazi hiyo, vipi uboo na **** zinazotoa mkojo hii sio takamwili au nini?? Naomba twende taratibu mahi, huwa napenda kujifunza na kupata maarifa mapya.
Nimepitwa kweli tena..!!Umepitwaa wapiii wee tenaa? Lol
Sherehe ya vidampa imepita juzi? Hujaona??Nimepitwa kweli tena..!!
Em niambie basi udugu.
😹😹😹 Sasa mi ndo cute wa kwanza mbovu..!!Mda sana ujue ishirini na Moja mwishoni huko na cute wife.
Chino nikasema mbona mtoto kachangamka sana huyu! Afu anajiita mcute! Pisi mbovu ijiite mcute si kweli!
Acha niinyemeleee ila mikazo mikazo tu
Hapo sawa 😹Sawa mama kila la kheri
Yalikua maoni yangu binafsi sidhani kama naweza kuzuia mtu kufanya kitu anachoona ni sahihi
Ufunge uliuanzisha wewe? 😹😹Mjadala huu naufunga!!
Ndio mme wangu unasikia wivu na wewe unamtaka?Huwa unamtetea sana aunt coca , ni mmeo...
Sijaona, kina nani tena wamewekana ndani? 😹Sherehe ya vidampa imepita juzi? Hujaona??
Unanifahamu vyema...Ndio mme wangu unasikia wivu na wewe unamtaka?
Kipindi kile Cha mtifuano ukaamua ujiachie live kuwaonyesha am there!! Ulijiachiaga kipindi kile. Maninah nikasema huyu demu kumbe ni kisu afu rangi ya mtume vitu vyangu kabisa!!😹😹😹 Sasa mi ndo cute wa kwanza mbovu..!!
Yaishe kama vipi au unasema je bro mpenda udaku?Na mimi nilishamaliza nilichotaka kusema. So we are both simultaneously done...ila ukizingua kusemwa utasemwa tu; na hata kudhalilishwa utadhalilishwa tu. Huu ndiyo ulimwengu tunamoishi...we poor Homo Sapiens! 😂😂😂🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️
🔥🔥🔥Hapo sawa 😹
Sasa unafikiri nakuogopa?Unanifahamu vyema...
Nitakuja kukuharibia siku yako bure...
😹😹😹 Yani chino hausahau hiyo ya kuingia live..!!Kipindi kile Cha mtifuano ukaamua ujiachie live kuwaonyesha am there!! Ulijiachiaga kipindi kile. Maninah nikasema huyu demu kumbe ni kisu afu rangi ya mtume vitu vyangu kabisa!!
Afu lipo Kiana vibao vinapigwa tu mbona! Mtoto wa mjini wewe Yani ulikose kabisa dah ningelia sana chino
Mbona unaanza kujistukia...Nimekuambia uniogope?Sasa unafikiri nakuogopa?
Uzuri hata wewe unanijua vizuri..!!
Heh we kaka mbona kama unanirushia madongo kulikoni?Yeah! Ni kuwa waangalifu maana mara nyingi unachopanda ndicho utakachovuna halafu siku mambo yakibumburuka papa yako inawekwa mubashara hapa na vivulana unaanza kulalamika na kuleta mafungu ya Biblia nje mkuthadha