Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 4,120
- 9,979
Demiss aliwekaga picha yuko hotel flani sijui anakula maisha sijui anatumia mshahara!!😹😹😹😹 Na wakaka wa humu wako chap kushusha pdf wakitoka kutafuna mizigo..!!
Baadae lijamaa nalo likatuma picha za hotel hio hio