Mziki wa Manengelo ulikua ni wa π₯π₯π₯
JF ilizizima ile siku, ugomvi ulianza baada ya Manengelo kutamba kuwa ametoka kuuza madini na kupata 140M, basi full kutamba, kumbe kuna jamaa humu alikua na rafiki traffic anasimama kibaha kwa mathias na ndio sponsa wake huyo manengelo, na waliwahi kumpeleka kwenye mapagale huko Morogoro Tanesco Nyuma ya Chuo cha MUM ili wakamlw mande, wakaamua kumuacha tu na kumsamehe. Bhana wee,
Kiliwaka hapo, full maubuyu anajifanya mchaga wa Moshi, kumbe mpogoro wa Ifakara
ππππ Alooooooh.