Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Siendani naye kwa lolote, kwanza namtamani arudi nimfanyie cross-examination..!! 😹

Natamani kuifufua kesi yake, inaonekana alikuwa machachari sana humu jukwaani..!! 😹😹

Nataka nijue aliweza kumpenda vipi ankali wangu mshana na uchawi wake?

Ujue wakongwe kuna vitu navitaka sana kwao..!!

Siku moja demiss ajizime data arudi, mashabiki zake wanamuhitaji na akirudi mi naunga naye urafiki..!! 😹
hahahahaha, dah kazi unyo
 
hivi bado kuna watu wanaambukiza/kuambukizwa UTI bila kujua?, au wengine wanapoteza muda kwenda maabara kupima UTI?,, ishi kidigital zaidi😊😊
 

Attachments

  • 20261103_130410.jpg
    20261103_130410.jpg
    215.6 KB · Views: 1
Back
Top Bottom