Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Watu wali mpicture kama wema sepetu flani!!

Na kihuhalisia angekua yuko economically vizuri alikua anaweza kua na huo muonekano.

Mademu wengi walionona wanahudumiwa vizuri ndiomana wanapata muonekano
Kumbe lizuriii 🔥🔥

Afanye arudi bana demiss 😍
 
Kilichomponza Demiss nasikia ni mashauzi na kujiona kila kitu anajua. Anasema ana good life lakini anaburuzwa kwenye lodge za 10K na mabaharia wa JF. Hapo ndilo alipounguzia picha. Sawa tu na mwingine wa kuitwa Manengelo aka Wangari Maathai. Huyu mpaka na picha zake za uchi zilivuja nasikia. Anajifanya anajua kila kitu michongo ya hela ndefu kumbe wa kawaida tu. Halafu anamsema mumewe kuwa ni mlevi na hana nguvu za kiume dah! Naye ilibidi apogee mazima labda kama akirudi kwa ID mpya.

Mashauzi ndo huwa yanawaponza watu lakini mtu ukikaa kwenye uhalisia wala hakuna mtu atakusumbua 😂😂😂
Jamaniii 😹😹😹
Hawataki kuonekana mawinga km Lamomy?

Sasa hizo lodge za 10k ndo anakoenda kufotolewa akiwa uchi? Wanaume wa JF kiboko 😹😹😹

Warudi bhana waje watuambie vizuri ilikuwaje?
 
Kwa Experiance yangu ukishakubali kuliwa jf we kua low key tu!! Unakua huna jipya!!

Humu waendelee kugawa at their own risk. Humu watu wana sifa unakuta umeshusha zako Uzi wako mkali huko intelligence au siasani.

Anakuja mtu anakuja mtu anakuambia hamna kitu Malaya tu!! Hapo kama umeshaliwa kaa kwa kutulia tu usijitutumue ukijitumumua kumbe mtu kashamwagia ma Kila kitu yake.

Kikubwa tunzeni hizo maliasili zenu mlizobarikiwa
Mna complicate mambo acheni watu waishi maisha yao bana yaani watu waisikae wakapumua lol

Huyu hivi huyu vile
Hamna lolote hapo ni chuki na wivu kwa saana

JF ni kama platform zingine acheni watu waishi maisha yao
 
Habari zenu wana wa selfika
Screenshot_20261103-213022.png
 
Hahaha yeah ndiomana nimesema demiss alijiweka kama wemasepetu flani hivi na washikaji wengi wakajua mtoto ni kisu haswaa; expectation zile walivozikuta tofauti shida ndo ikaanzia.

Sema nasi Kuna mda tuna fell manzi ushaiburuza, piga zako kimya kama unawinda nyingine winda: na demu ukishakazwa humu ndani acha kisebengo kaa kwa kutulia;
Hamtaki kuachwa ndo tatizo 😹😹
 
Kwa Experiance yangu ukishakubali kuliwa jf we kua low key tu!! Unakua huna jipya!!

Humu waendelee kugawa at their own risk. Humu watu wana sifa unakuta umeshusha zako Uzi wako mkali huko intelligence au siasani.

Anakuja mtu anakuja mtu anakuambia hamna kitu Malaya tu!! Hapo kama umeshaliwa kaa kwa kutulia tu usijitutumue ukijitumumua kumbe mtu kashamwagia ma Kila kitu yake.

Kikubwa tunzeni hizo maliasili zenu mlizobarikiwa
Unataka kusema nini chino? 😹😹

Ila JF kila nikitaka kuacha umbea lazima mnivute nirudi..!!

Kwahiyo huwa mnapeana taarifa Kama mmepita? Na mipicha mnavujisha? 😹

Mungu saidia nisije kushawishika kuwa na husiano la kuvuana chupi humu. Amen 🙏😹
 
Mna complicate mambo acheni watu waishi maisha yao bana yaani watu waisikae wakapumua lol

Huyu hivi huyu vile
Hamna lolote hapo ni chuki na wivu kwa saana

JF ni kama platform zingine acheni watu waishi maisha yao
Mimi binafsi yangu sijawahi zalilisha kiumbe chochote humu ndani.

Ila kinachowaponza ke wengi humu ni ulimbukeni wa mahusiano; hapa chino nisiwe mnafiki;

Na me wengi humu ndani ni washamba wa_ k_!! Akikula lazima aje ajimwambafy;
 
Roho yangu mie!! Afu Kila siku unazidi kua mpya!!

Hapa vyuma sawa vitapostiwa sawa ilaa... Acha nisiseme
Nafurahishwa na pirika zako za kunidanganya..!! 😹😹

Chino umetumwa utafute pic zangu naked nini? Sio kwa sifa hizi alooo..!!

Tatizo linakuja nimezaliwa Ilala, kkoo nimekulia, kinondoni wananitambua..!! 😹😹
 
Back
Top Bottom