Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Au sio mahi ๐Ÿ˜…
Serikali ya samia inamkamata hata kada wa chini kabisa wa chadema na kumpa kesi ya uhaini

Anyway wasiwasi ndio akili mama
Usiogope bhana , kama ingekuwa ni kukamatwa na kutekwa mimi ni mmojawapo halafu ni katibu wa Chama kikuu kata na bado nikienda kwa maofisi ya Umma wakiniletea Ubabaifu nawape vidonge vyao.

Unaogopa nini Mdogo wetu hebu tubless basi iwe kama lunch ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
 
Unajua baada ya Uchaguzi wa mwaka 2015, hali ya Siasa Nchini ndiyo ilianza kubadirika na kutufikisha hapa tulipo

Miaka ya nyuma ya 2015 kurudi nyuma, wadau walikuwa wanatoa maoni na kushindana kwa hoja humu bila kuwa na wasiwasi

Ndiyo maana hata zile gathering parties zilikuwa zinafanywa almost Kila mwaka zamani

Saivi hata kuitisha party moja ukiwatolea viingilio members wote, hakuna atakayejaribu kuhudhuria

Babu yenu naogopa hata kukutana na Wajukuu ๐Ÿ™Œ
Nakumbuka Babu kuna mwaka tulikutana pale Rombo Green View zaido ya Members 100. Na Jamiiforums kipindi kile ilikuwa na mijadala ya moto.
 
Usiogope bhana , kama ingekuwa ni kukamatwa na kutekwa mimi ni mmojawapo halafu ni katibu wa Chama kikuu kata na bado nikienda kwa maofisi ya Umma wakiniletea Ubabaifu nawape vidonge vyao.

Unaogopa nini Mdogo wetu hebu tubless basi iwe kama lunch ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
Nimechagua kuogopa
Kuna shido?

Wewe endelea kutoa vidonge
 
Back
Top Bottom