ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 20,481
- 47,944
BaaasiiiiiWote ni sold out. 😂😂😂
BaaasiiiiiWote ni sold out. 😂😂😂
Ni sahihi nadhani hili jukwaa wenye nia ovu ni wengi sana..Wanaweza hasa ukiwa mtu wa kutoa mawasiliano yako kwa watu humu jamvini
Labda uwe na marafiki ambao una uhakika hata wakilewa, bado wanabaki na Siri zako kichwani
Ndiyo maana hata ikitokea unatamani kumpa mtu msaada wa kifedha humu, vyema kutumia Wakala
Ndio nimetoka jela leoMje mniungishe khanga za kuwapelekea mabebe zenu..!!
Naomba nitumie 3000 ya kula mkuu 🥹
Wote ni sold out. 😂😂😂
Wewe hawawezi huna Siri zao wala huwapigi spana..!!Au sio mahi 😅
Serikali ya samia inamkamata hata kada wa chini kabisa wa chadema na kumpa kesi ya uhaini
Anyway wasiwasi ndio akili mama
Ngogwe 😹Ndio nimetoka jela leo
Kende ni msamiati gani
Mimi niliposti kuhusu Imma alivyojiudhuru Mtu aliniomba kwa wema nifungue PM nikafungua akaniambie nijishikilieNi sahihi nadhani hili jukwaa wenye nia ovu ni wengi sana..
Kuna ID yangu humu ilipotea miaka ya juma, ila kuna nakala niliwai toa comment ni issue za siasa hizi hizi.
Kuna jamaa ID yake mpaka leo naikumbuka ila ni dormant naona.
Alinijia PM na kutoa vitisho Vikali sana sema sikujali sana mana access ya kunipata ilikua haipo.
Tangu siku hyo nilifunga PM mpaka leo.
Mie anavyokuja, ndivyo navyo mpokea, aibu mtaona nyie, aloooh.Imetosha sasa, hakuna haja kutumia Lugha za hivi humu.
Si mnajua haya majukwaa yatasomwa na wanaselfika wengine miaka 30 ijayo
Slogan yetu humu ni; Kuchat na Picha
CC
100 others
cocastic
😂😂😂😂 nishakumbuka, ila Selfika imepitia mengi alooohHuyo huyo 😹
Kwani umesahau nawe udugu kipindi kile mpaka babu miga avujishe zile chat hapa kisha tukamchenjia?
Bana niacheee banaWewe hawawezi huna Siri zao wala huwapigi spana..!!
Em tupia tusafishe macho 😹
😂😂😂😂 mie sitakiiii.Ana weusi mzuri sana uduguu 😹😹
Yupo kama mrundi
Share then nitaupitia mkuuMimi niliposti kuhusu Imma alivyojiudhuru Mtu aliniomba kwa wema nifungue PM nikafungua akaniambie nijishikirie
Ngoja nikupe link ya uzi
Chips kavu :2000Elfu tatu, utakula nini binti? 😊
Saibaba, Ottawa, 😂😂😂Hahaha zishazeeka lakini 🤣🤣🤣
Unaikumbuka Sumry ? Kiswele je ?
Nasubiri hapaBana niacheee bana
Heaven gelo
Tayari uko kwa Chino boy! 😂😂😂Mi bado udugu usinikoseshe mume puliizzzz 😹
😂😂😂 wewe tena? Si unae kutoka magogoni? G.Watu na mabebe zenu, na mie mniitie mmoja aje hapa aselfike nipate wa kusaidiana kuongeza mtaji wa vijora..!! 😹