Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Share then nitaupitia mkuu

Huo hapo bro
 
Ni sahihi nadhani hili jukwaa wenye nia ovu ni wengi sana..

Kuna ID yangu humu ilipotea miaka ya juma, ila kuna nakala niliwai toa comment ni issue za siasa hizi hizi.

Kuna jamaa ID yake mpaka leo naikumbuka ila ni dormant naona.

Alinijia PM na kutoa vitisho Vikali sana sema sikujali sana mana access ya kunipata ilikua haipo.

Tangu siku hyo nilifunga PM mpaka leo.
Unajua baada ya Uchaguzi wa mwaka 2015, hali ya Siasa Nchini ndiyo ilianza kubadirika na kutufikisha hapa tulipo

Miaka ya nyuma ya 2015 kurudi nyuma, wadau walikuwa wanatoa maoni na kushindana kwa hoja humu bila kuwa na wasiwasi

Ndiyo maana hata zile gathering parties zilikuwa zinafanywa almost Kila mwaka zamani

Saivi hata kuitisha party moja ukiwatolea viingilio members wote, hakuna atakayejaribu kuhudhuria

Babu yenu naogopa hata kukutana na Wajukuu 🙌
 
Kumbe hata kiko hutaki lol 😆
 
😅😅 msisitizo
Sitaki kurithi koti
Nisirithishwe pesa mi koti la nini
Babu atakua amekusikia loud and clear 💰💶💵

Robin Reaction GIF by Studio 100.gif
 
Mie anavyokuja, ndivyo navyo mpokea, aibu mtaona nyie, aloooh.
😂😂😂😂
Kwani akiandika nawe ukanyamaza pasipo kumjibu utapungukiwa na nini?

Jifunze kupotezea baadhi ya mambo hasa ya aina hii ambayo yanaweza kukuchochea ukamjibu mtu vibaya
 
Ni ngumu mtu kukufikia kupitia platform kama hii ya JF
Hakuna ugumu, wanakudaka, unless uwe hujawahi kuwasiliana na mtu nje ya hapa, au laah watu wako wasiwe wa kushuka bei, nje ya hao system, kuna waja tu wanaotaka kuwafahamu watu kiundani huwa wanatumia wenzao kuwachota kirahisi.

Sema wanaotafutwa ni wale wanaotoa za Jikoni, km Brittanika, etc.
 
We nae tutakufatilia Coca😅
 
Unajua baada ya Uchaguzi wa mwaka 2015, hali ya Siasa Nchini ndiyo ilianza kubadirika na kutufikisha hapa tulipo

Miaka ya nyuma ya 2015 kurudi nyuma, wadau walikuwa wanatoa maoni na kushindana kwa hoja humu bila kuwa na wasiwasi

Ndiyo maana hata zile gathering parties zilikuwa zinafanywa almost Kila mwaka zamani

Saivi hata kuitisha party moja ukiwatolea viingilio members wote, hakuna atakayejaribu kuhudhuria

Babu yenu naogopa hata kukutana na Wajukuu 🙌
Hahahaha.

Ni kweli hapo nyuma naona humu usalama ulikuwa mkubwa.

Kuna kipindi watu walikuwa na magroup huko whatsapp kabsa ya humu JF.

Japo kila kipindi na woga wake hapo nyuma kulikua na dhuruma sana vijana wanaanzisha groups then admin analeft group na pesa za member 😄.

Lakini sasa hivi usalama hakuna.
 
Back
Top Bottom