Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹😹 Mbona magogoni..!!
Na sijui kapotelea wapi?
Sijamuona week hii kabisaaa..!!

Anataka miamala yake urudishe umeshindwa kufanikisha mission.!!
Aaah wapii, yule hadi anikamate aning'oe kuchaaa,
😂😂😂😂
 
Hahahaha.

Ni kweli hapo nyuma naona humu usalama ulikuwa mkubwa.

Kuna kipindi watu walikuwa na magroup huko whatsapp kabsa ya humu JF.

Japo kila kipindi na woga wake hapo nyuma kulikua na dhuruma sana vijana wanaanzisha groups then admin analeft group na pesa za member 😄.

Lakini sasa hivi usalama hakuna.
Mimi kuna party nilishiriki, pamoja na kwamba nilikuwa kwenye mkongojo wangu lakini wala sikuwaza kuhusu Usalama wangu

Hiyo ilikuwa miaka ya nyuma

Tulikuwa na Dr Slaa, Tundu Lissu, Nape, Juliana Shonza n.k tukijadiliana nao mambo kadhaa wa kadhaa

Lakini saivi hata kuomba kuletewa Kiko naogopa Babu yenu 🙌
 
😅😅🙌🏼
 
Attachments

  • IMG_3714.jpeg
    IMG_3714.jpeg
    24.4 KB · Views: 1
Ngoja tusubiri baada ya 2030 kuona hali itakavyokuwa

Lakini kwasasa kila mmoja anatunza roho yake, maana haina mbadala ikitoka

Tangu 2016 niliacha kuomba Kiko kwa wajukuu na kukaa stendi kuzisubiri 🤗
Sawa babu hata hivyo ni vizuri usije kufia kwenye vifua vya wajukuu
 
Back
Top Bottom