Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hakunaaaaaa ushindweeeeee
Kuna mtu kasema nimekuona selfika unajianika huko na huku unashinda siasani watakufilimbaaa 😅😅💔😭
Hawawezi huna impact hiyo..!!
Huku anayetafutwa brittanica anayetoa Siri zao na wale majamaa wanaoiponda veggies kwa maneno makali..!!

Wewe tupia tu JIACHIE
 
Ni ngumu mtu kukufikia kupitia platform kama hii ya JF
Wanaweza hasa ukiwa mtu wa kutoa mawasiliano yako kwa watu humu jamvini

Labda uwe na marafiki ambao una uhakika hata wakilewa, bado wanabaki na Siri zako kichwani

Ndiyo maana hata ikitokea unatamani kumpa mtu msaada wa kifedha humu, vyema kutumia Wakala
 
Naomba nitumie 3000 ya kula mkuu 🥹
 
Back
Top Bottom