Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,072
- 10,565
Mtaona 🥳Weka kwanza basi. Mbona leo hutaki tuone uumbaji.
Mtaona 🥳Weka kwanza basi. Mbona leo hutaki tuone uumbaji.
Mtaona 🥳
Aya nibless sasa😘💯Nipo.
We siku hizi umekua mjanja mjanja sana dawiriAya nibless sasa😘💯
We siku hizi umekua mjanja mjanja sana dawiri
Naona kawa mbabaishaji kama wakongweSijui nani amemfundisha ujanja, itakuwa ni Steve Rogers.
Naona kawa mbabaishaji kama wakongwe
Comments buku akipita anapost mkono
Mimi nawatafutia hapa shemeji yenu😹We siku hizi umekua mjanja mjanja sana dawiri
Bora muone mkono kuliko kukosa😹Naona kawa mbabaishaji kama wakongwe
Comments buku akipita anapost mkono
Hapo tbt nimefurahi ngoja nitafute tbt ya utotoni nipite🥳🔥Leo alhamiss tupieni haha TBT, Sisi wazee tutupie tulivyokuwa vijana na vijana watupie walivyokuwa watoto. (Chicca, Coca, Win na Mallerine) Gen Z wa selfika
Mambo si ndo hayoooo 🔥Hapo tbt nimefurahi ngoja nitafute tbt ya utotoni nipite🥳🔥
Si kama mimi tu nkikuomba upite mamaaLamomy Mate can you imagine nimesoma comments kumbe jana Chivundu amepita, Kwa mujibu wa wana selfika ni handsome Man 😊
Juzi tumemperemba aweke akatuchomolea, nimegundua humu ndani watu wana watu wao 😭😭😭😭😂😂😂
Mate, chivundu ana pisi yake alitaka imuone 😹😹Lamomy Mate can you imagine nimesoma comments kumbe jana Chivundu amepita, Kwa mujibu wa wana selfika ni handsome Man 😊
Juzi tumemperemba aweke akatuchomolea, nimegundua humu ndani watu wana watu wao 😭😭😭😭😂😂😂