Steve Rogers
JF-Expert Member
- Jun 20, 2026
- 745
- 1,657
Masuala ya ndoa ni personal choice, lakini sioni msingi wa hoja kwamba uchumi wa mwanaume lazima uyumbe kwa sababu tu ameamua kuwa na mke na mtoto.Kuna MTU mmoja aliniambia hizi kampeni sijui kataa ndoa ,sijui wamama kuwa single ( kujitegemea ) ni kampeni kubwa , inayohusu Uchumi, nilimuuliza kwann ,akasema
Dunia ya kibepari unaangalia uchumi, Sasa watu wakiwa ktk NDOA wanakua wanakosa mapato sababu familia Moja, ila
Kama watakua wametengana maana ake, wanakua single hapa kila mmoja ataishi kivyake sio ki familia Tena ,so wakiwa separate means watajitegemea binafsi
Single mother atakua chanzo pia Cha Kodi maana atajilpia baadhi ya mahitaji, atalipa Kodi na huduma zingine za ki uchumi yeye kama yeye tofauti na mwanzo angekua ktk NDOA
na Kwa baba hivyo hivyo
tofauti ya cash flow ndani ya familia na nje ya familia ipo.
lakini si lazima iwe kubwa kiasi cha kuathiri stability ya uchumi wako, hasa kama tayari una financial foundation imara......
Kama ukiishi mwenyewe unalipa TSh 170,000 kwa mwezi, kuoa kutafanya kodi hiyo ipande moja kwa moja?
Not necessarily.
Gharama nyingine zitaongezeka, ndiyo, lakini si kila gharama itaongezeka kwa kiwango kikubwa.
Kuna baadhi ya expenses zitahitaji adjustment, lakini nyingine zitaendelea kuwa zilezile....
Ni kweli kwamba familia inaongeza financial responsibilities, na kuna channels za matumizi ambazo zinaweza kuongeza cash outflow.
Sasa kaka Tresor Mandala unakuta dogo anaishi chumba cha 15k na kila siku anapata pesa ya kununua utelezi huyu ataamini kwenye ndoa kweli.. ?
Vijana wengi ni wazito kubeba majukumu kutokana na personal reason wengi ni starehe na wanawake.
Huwezi ukawashauri ndoa ukiwapa ushahuri wanakuwa wakali sana na jibu lao ni " usitushauri wote ni Mara yetu yakwanza kuishi " 😄😄.
Gen Z is a different breed of fun. 😂