Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,881
- 9,595
Hapa acha nilale siongezi nenoKweli wewe mvumilivu chino hakuna mfano..!! 😹
Kesho njoo pm hii kweli kabisa, au nitakutext mwenyewe..!!
Navyosubiri kwa hamu pakuche sasa.
Hapa acha nilale siongezi nenoKweli wewe mvumilivu chino hakuna mfano..!! 😹
Kesho njoo pm hii kweli kabisa, au nitakutext mwenyewe..!!
😹😹😹Hapa acha nilale siongezi neno
Navyosubiri kwa hamu pakuche sasa.
kuku si utakuja na hela tutanunua tajiri usiwaze 😂Xmas 😹
Nakuja na mchele wa Mbeya tupike pilau kuku Mfalme..!!
Huko kuku si Wapo?
Usijali limeisha hilo, si bureau si zipo huko?kuku si utakuja na hela tutanunua tajiri usiwaze 😂
nasemajeeee, nshabadili maamuzi aisee 😂Vibunda vyote vile unakosaje kulewa? 😹
Yule kuwadi wako ana roho ya kauzibe na mimi tu!!
Hataki nitoboe na mimi nikae high table na Mfalme..!! 😹😹
Sema nini? Achana naye mwambie umechange maamuzi..!! 😹😹
Ila ankal unapenda kujiamlia mambo 😹😹
tajiri tajiri nakuita mara tatu 😂Usijali limeisha hilo, si bureau si zipo huko?
😹😹😹😹nasemajeeee, nshabadili maamuzi aisee 😂
fungua ako kakufuli basi tajiri yangu wa mwaka wa mbele🔥🔥
😹😹😹tajiri tajiri nakuita mara tatu 😂
huku hamna haja ya bureau doo zinatumika kama zilivo 🔥🔥
Mkuu kumbe ni kijana mdogo kiasi hichi ?
Aisee ukasubiri nilale si ndio🥲
Siku ukiona umechoka Umiss unaenda zako kujitafutia mwili wako safi kabisa ukilud mjini utaenda Gym kuupanga sasa😃😃Kaaaah! huko siyo kwa kwenda kuishi 😂😂
Kuna vitu nasaka mimi nilishapita page za katikati hukoUnacheka nini Mtoto halali na hela hebu pita kidogo nawewe uache kuchungulia tu😁
2011 hiyo mzee🙌salute kwako dunia umeilaNdio town pale, mtaa wa NK club. Sasa mie sikuishi Dodoma, ila kwa ujana mkali wa enzi hizo, nilikuwa natoka Dar weekend naenda kula bata Dom na kijiji. Kuna shemeji yako alikuwa anasoma St. John University kule.
Basi hapo Jamatini, kuna hotel ipo ghorofani hivi, nilienda na kijiji hapo kikaagiza vya kuagiza. Bili ilikuja mara mbili ya pesa niliyokadiria na sikua nayo! 😊
Unasaka nini? Hebu nitag ulikopita nijionee uumbaji mie😂Kuna vitu nasaka mimi nilishapita page za katikati huko
Kwahiyo ukafanyaje we jamaa🤣Ndio town pale, mtaa wa NK club. Sasa mie sikuishi Dodoma, ila kwa ujana mkali wa enzi hizo, nilikuwa natoka Dar weekend naenda kula bata Dom na kijiji. Kuna shemeji yako alikuwa anasoma St. John University kule.
Basi hapo Jamatini, kuna hotel ipo ghorofani hivi, nilienda na kijiji hapo kikaagiza vya kuagiza. Bili ilikuja mara mbili ya pesa niliyokadiria na sikua nayo! 😊