Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mmeshindikana 😂



Dah.

Kimini cha leather uhakika, boots sijawahi kuvaa nina mixed feelings na boots, ila wengi naona zinawapendeza, mi nina miguu membamba 😂
Kimino kishakataliwa 😹

Yeye kakomaa na hiyo old school outfits kama za destiny’s child 😹😹

Hivi una miguu membamba?
Mbona siku ile niliona minene mate?
Au carrot situmii kwa wingi?

Tupia kapic nione basi..
 

Attachments

  • IMG_20240511_181021_773~2.jpg
    IMG_20240511_181021_773~2.jpg
    530 KB · Views: 1
Kimino kishakataliwa 😹

Yeye kakomaa na hiyo old school outfits kama za destiny’s child 😹😹

Aaaaiiii 😩
Hivi una miguu membamba?
Mbona siku ile niliona minene mate?
Wanyaturu na miguu wapi na wapi 🤣 Mi naionaga miembamba watu wanasemaga ya kawaida tu uko sawa na mwili 🤣
Au carrot situmii kwa wingi?

Tupia kapic nione basi..
 
Back
Top Bottom