Wataachaje kukuona babu na umejiita chivundu na wewe 😅
Mwenyewe nilidhani mbabu mpaka nilivyofatilia chat zako nikajua mhm huyu sio jenizi ni mileniaaa😅
Ni jina tuu hilo. Na ndio linalofanya watu wanafikiri mimi ni dingi. 😊
Wataachaje kukuona babu na umejiita chivundu na wewe 😅
Mwenyewe nilidhani mbabu mpaka nilivyofatilia chat zako nikajua mhm huyu sio jenizi ni mileniaaa😅
Kwanza yuko wapi kama hayupo nipite chap kama upepo😅Hawezi pita, mbona yeye kapita na alikwambia pita hapa..!!
Em tuonyeshe uumbaji huo usitubanie..!!
Hayupo, kashaaga kaenda kulala..!! 😹Kwanza yuko wapi kama hayupo nipite chap kama upepo😅
Basi jiite hata..CR7 😅😅Ni jina tuu hilo. Na ndio linalofanya watu wanafikiri mimi ni dingi. 😊
Selfika leo, hiyo siku nyingine pia utaselfika 😹
Wewe nilikuwekea hii na wewe nilipe sio kuvizia wenzenu tu! 😹Lamomy hold on... nitaselfika siku nyingine. 😄
you are so beautiful.😹😹😹 Chino selfika basi leo..!!
Basi jiite hata..CR7 😅😅
😹😹😹 Eehh copy tena?you are so beautiful.
Kitu kimoja tu unafeli tu copy ya chino.
Wewe nilikuwekea hii na wewe nilipe sio kuvizia wenzenu tu! 😹
Unaona sasa mpaka unaongea matusi? Au mi nimevusha? 😂😩Twende second round hiyo nimesha-miss.
Umetoka wapi tena nimejiiba ku selfika 😭😭 soreeeeUnaona sasa mpaka unaongea matusi? Au mi nimevusha? 😂😩
Unaona sasa mpaka unaongea matusi? Au mi nimevusha? 😂😩
Haha!!😹😹😹 Eehh copy tena?
Mbona mi kuzaa sitaki mwenzio..!!
Mi tayari nafuta unazurura mnooJamani twendeni round ya pili 😹😹
binti kiziwi
ShesRise_1
cocastic
spidernyoka
Chivundu
Kapachino
Selikavu
Rogers
Na wengine haya selfikeni
Kwa lipi sasa kwa mfano😅Leo umeamua aisee! Sasa utafanya tuanza kujaa PM. 😊
Khaaaaa..!! 😹😹😹Haha!!
Nakuonaga sana una sema ufagilii kabisa.
Mbaya zaidi Jana nilijifungia sehemu nikalia sana! Namna ulivyo struggle kupambana na Ile juice uliyoigida?
Usiniambie hata mikito una inyari
Huku ndipo tunafanyia mental therapy kaka 😊