Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi kuna kitu kimewahi nipata mitaa ya Jamatini, Dodoma, around 2011 hivi. Ilibidi niache niliokuwa nao wazuge kama bado wanakula, nikaenda ATM kutoa hela, nije nilipe bili za watu. 😊
Bili ilikuja mara mbili ya fedha niliyokuwa nayo.
Jamatini pale si town kabisa tena 2011 ile stendi ilikua bado inapiga kazi😃🙌

Dodoma kuna kauli moja huwa wanasema kila mtu mbunge😃
 
Zamani humu kulikuwa na uzi watu wanahamasishana kwenda kupanda mlima kilimanjaro, kulikuwa na mdada anaitwa Heaven on earth alitupia kapicha kibao akatoa na story ya kupanda mlima, Watu walihamasika wengine walienda.

Ule uzi nilikuwa napita kama naaga maiti.😂

Ila Bali kuzuri nakuonaga tu huko mitandaoni
Vilima kutafuta vigimbi tu wala sio unyama 😹😹😹

Bali kwa moto mate 🔥🔥
Hali ya hewa kama south vilee..!!
 
Back
Top Bottom