Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,882
- 9,595
Siku zote kwenye shughuli mgeni rasmi ndo hua anamalizi shughuliJeuri hiyo natoa wapi kupita mbele ya wakubwa zangu ebooooooo😅😅
Siku zote kwenye shughuli mgeni rasmi ndo hua anamalizi shughuliJeuri hiyo natoa wapi kupita mbele ya wakubwa zangu ebooooooo😅😅
Akwendeee 😂Huyo hata shikamoo hatumpi 😹😹
😹😹😹 Huyo unamuamini?Ndio, zile ndio pigo unazo sasa. Tajiri yangu Steve Rogers yupo sahihi kukufananisha na Nicole Scherzinger.
JichanganyeSiku zote kwenye shughuli mgeni rasmi ndo hua anamalizi shughuli
Mchelewaji 😅 Afu juzi nilikuwekea picha ulikuwa pekeyako mtaa huu!Sema itakuwa ubatili bila kublesiwa na binti kiziwi
Wewe tena? 😹Miongoni mwa vitu ambavyo sijawahi choka kuviangalia toka zama na zama;
Labda kama ulianza mambo mapema, ama sivyo hapo ndio penyewe hapo!!
Mi nikajua ankali wa miaka 45 watu wa JF kwa kujifanya wazeeee! 😂🙌🏻
Pita bhana nikuone mtoto mkareee..!! 😍Jeuri hiyo natoa wapi kupita mbele ya wakubwa zangu ebooooooo😅😅
Makali yapi unataka? 😹Binafsi najiona sina makali niliyokuwa nayo kwenye late 20's and mid 30's. 😊
😹😹😹 Huyo unamuamini?
Anachangamsha kijiwe..!!
Haya selfika sasa..!!
Wataachaje kukuona babu na umejiita chivundu na wewe 😅Watu kibao humu JF, wanajua mimi bonge la dingi, labda nina 45 au 50. 😊
Mi yanki tuu, ukiniona huwezi amini.
Kuna mtu nimewahi kutana nae ni mshikaji, alishangaa sana. 😊
JF kila mtu anajifanya mzee 😹😹Akwendeee 😂
Mkuu kumbe ni kijana mdogo kiasi hichi ?Ni kweli, lakini mimi nipo kwenye late 30's, mambo yashakuwq mengi. 😊
Selfika leo, hiyo siku nyingine pia utaselfika 😹Mimi nitaselfika siku nyingine. 😊
Binti kiziwi atanilamba vibao 😅😅Pita bhana nikuone mtoto mkareee..!! 😍
Pisi ya muda wote
Umekula mtongozo Kila Kona nikasema niwe mvulivu; atalegeza kamba tu;ili huku naye chino apate lala vizuri!Wewe tena? 😹
Hawezi pita, mbona yeye kapita na alikwambia pita hapa..!!Binti kiziwi atanilamba vibao 😅😅
Alafu madingi tuna act masela jf Raha sanaWatu kibao humu JF, wanajua mimi bonge la dingi, labda nina 45 au 50. 😊
Mi yanki tuu, ukiniona huwezi amini.
Kuna mtu nimewahi kutana nae ni mshikaji, alishangaa sana. 😊
Twende second round hiyo nimesha-miss.Mchelewaji 😅 Afu juzi nilikuwekea picha ulikuwa pekeyako mtaa huu!
😹😹😹 Chino selfika basi leo..!!Umekula mtongozo Kila Kona nikasema niwe mvulivu; atalegeza kamba tu;ili huku naye chino apate lala vizuri!
Kama kawaida yangu mzee wa patient