Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,398
- 54,816
Kidume hakina uumbaji kama kina Seran
Unaskaa nini? Hebu nitag ulikopita nijionee uumbaji mie😂
Kidume hakina uumbaji kama kina Seran
Unaskaa nini? Hebu nitag ulikopita nijionee uumbaji mie😂
Unikumbuke na mimiSasa itabidi nije inbox mambo yashakuwa mengi we kila saa unapitwa bwana! 😌😅
Kwann umefuta sasaMi tayari nafuta unazurura mnoo
Usijali kuna wale watunza masjala omba tu watakuoneshaKwann umefuta sasa
Nionyeshe basiUsijali kuna wale watunza masjala omba tu watakuonesha
Damu ya Yesu ilinilinda kweliG night binti mwenye mshepu wake..!! 😍😍
Damu ya Yesu ikulinde..!!
Hata usijichosheNionyeshe basi
Ngoja nibaki tu na taswira ya comment za walioonaHata usijichoshe
Ishi humo hawapo mbali sana na uhalisiaNgoja nibaki tu na taswira ya comment za walioona
😂😂😂 huyo namjua, kwa kweli hana vitu vyangu, nisiwe muongo.
Baadae!! Niko hapa kwa ajiri yako.N
Nipo Weka vitruuuu mahi udruguuu 😍
Nilivyolala ndo mkapita 😹kimya kimya
😅😅😅 picha huwa ni kwaajili ya wenyeji wa huu uzi .Unikumbuke na mimi
Kwa hiyo nilijiondoa kundini😅😅😅 picha huwa ni kwaajili ya wenyeji wa huu uzi .
Ukiondoka mwezi ukirudi report kwa mwenyekiti 😊Kwa hiyo nilijiondoa kundini
Niambie vitu vyako ili alipita kijana hapa nikuite.😂😂😂 huyo namjua, kwa kweli hana vitu vyangu, nisiwe muongo.