Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sema I like it!!
Migundu gundu ya ovyo ovyo unaiavoid!!

Hatakungoroka pia
Kupandwa pandwa hovyo naona jau kweli…!!

Huyo mpenzi mwenyewe niliyenaye hayupo tz ni kama wote tunachorana..!! 😹😹

Kasema Dec anakuja, namuandalia kipindi cha escape from sobibo..!! 😹

Lazima nitafute safari nimkwepe, nitaenda hata mbinga kwa kina coca kujificha..!!
 
njoo ujifiche huku kwetu mabonde kuinama tajirii yan nikikuona tu ata nikifa siku iyo sijutii kabisa 🔥🔥
 
tajiri unanjua mimi naanzia wapi kukunafkia aisee, kwa ilo body tea lako la mwaka wa mbele leo nikilala lazima nikuote aisee af kesho naenda kuuza viwanja vya familia kwa ajili yako aiseee. 🔥🔥🔥
Uko bia ya ngapi? 😹😹

Hizi taarifa kuwadi wako anazo?
Asije kusema nimekuroga..!!
 
Uko bia ya ngapi? 😹😹

Hizi taarifa kuwadi wako anazo?
Asije kusema nimekuroga..!!
hela ya bia natoa wap tajiri nisikilize mimi hamna kama wewe humu JF 😂🔥

pesa sina hata macho pia? aisee macho hayadanganyi. sasa leo ndo naelewa kwann kantri hakutaka kuniunganisha nawew alijua ni mbingu na ardhi 😂😂
 
Hivi sijawahi kukufungulia komeo chino mpaka leo? 😹😹

Haya leo nakufungulia njoo unichekeshe..!!
Labda pm utaselfika..!!
Hahaha!

Kuna adhabu chino si staili kupewa ujue mchuchu!! imagine umri wa mtoto sasa wa miaka 7. Vizingiti ni vingi pamoja na kupass mitihani yako kwa A
 
hela ya bia natoa wap tajiri nisikilize mimi hamna kama wewe humu JF 😂🔥

pesa sina hata macho pia? aisee macho hayadanganyi. sasa leo ndo naelewa kwann kantri hakutaka kuniunganisha nawew alijua ni mbingu na ardhi 😂😂
Vibunda vyote vile unakosaje kulewa? 😹

Yule kuwadi wako ana roho ya kauzibe na mimi tu!!
Hataki nitoboe na mimi nikae high table na Mfalme..!! 😹😹

Sema nini? Achana naye mwambie umechange maamuzi..!! 😹😹
 
Hahaha!

Kuna adhabu chino si staili kupewa ujue mchuchu!! imagine umri wa mtoto sasa wa miaka 7. Vizingiti ni vingi pamoja na kupass mitihani yako kwa A
Kweli wewe mvumilivu chino hakuna mfano..!! 😹

Kesho njoo pm hii kweli kabisa, au nitakutext mwenyewe..!!
 
Back
Top Bottom