Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha hivi watu wanatumianaje mipapa.

K-nzuri na safi ni zakuhesabu.
Nyingi zinatisha.

Mimi ni attract na vitu vingine iyo papa nikiona hata hamu na stimu za huyo mtu zinaishia hapo.
Eti wananyegeshana kwa maelezo yao 😹😹

Muongo wewe chino..!! 😹

Hapo ukute una ka album mwenyewe unapigia chabo..!!
 
Eti wananyegeshana kwa maelezo yao 😹😹

Muongo wewe chino..!! 😹

Hapo ukute una ka album mwenyewe unapigia chabo..!!
Hahaha dah maninah/

Na yako mmoja tu lakini haha Ile ulioingiaga live zama zile nikiku misigi hua naiangalia hiyo then natulia.
 
Sasa ganna naye wa kumsikiliza?

Yeye na min wana maumivu ya kukataliwa na wadada.!.!

Huyo min ndo mzee mpuuzi wa mwisho..!!

Ashukuru ki uzi chake kimefutwa nilitaka nimkaange akaangike..!! 😹
Na huyu sio mtu mmoja kweli mana min miez hii ya karibun kaonesha panic na kufungua viuz vya ovyo kwa ovyo kwa ovyo kama yule mwenye id nying
 
Nyie wadada wa selfika...acheni kutuma tuma sura zenu humu...wakaka wanasema nyie ni vikaragosi...yani mna sura mbayaaa...wabovuu...eti mnajisnap na kuji AI
So msione wana like hapa na kuwapa sifa baadae mtashangazwa mtakapoanzishiwa uzi...
Mi nilishaacha toka mwaka jana maana hawana adabu hawa...ila baadhi sio wote...😅😅😅😅😅😅
Kule juu kabisa post ya uzi ,Mshana wakati anaanzisha huu Uzi mwaka 2019 kaandika kuwa kuna muda watu wanahitaji kurelease stress, wa enjoy waselfike.

Hao wanaotaka warembo kuwawinda, nadhani hapa si mahali pake.
Kuna uzi wa picha Kali warembo world-wide waende huko.
Nashauri wasome uzi kwanza unataka nini, yawezekana hata Uzi wenyewe hawakuusoma.

Acha watu waselfike kwa raha zao.
Hawajalazimisha mtu kuwasifia, hawajalazimisha mtu kuwaona , hawatapeli cha mtu, hawajalazimisha mtu kutoa hela zake kuwapa.
 
Ni ujinga tuu....
Uzuri upo machoni pa mtu...
 
Back
Top Bottom