Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 3,715
- 9,596
YapHahaha
YapHahaha
Vipi.unataka ya wife 🔥Mtaalam, hebu fanya jambo mtaalam wangu.
😹😹😹😹😹Heshima yako baba mkwe wangu 😁
Hakikisha anafika Īkūngūlyabashashi kutusalimia huyu. Mtaniambia niwapokee eapoti Mwanza na kuwapeleka moja kwa moja nyumbani 😂
😁 Ana tempa sio poa😹😹😹😹😹
😂😂😂unachekesha sana tatizo unaenda direct sana😁 Ana tempa sio poa
Usijifanye huelewi. Wife natoa wapi mimi😅Vipi.unataka ya wife 🔥
nomaaa😂😂😂unachekesha sana tatizo unaenda direct sana
Vitu tulitupia long time humuUsijifanye huelewi. Wife natoa wapi mimi😅
Nitalia.Vitu tulitupia long time humu
Ulikuwa umesinzia bado😁😝
Usilie mwaya ...tukiselfika tutakushtua chapppppNitalia.
Huyu keshafika hadi Gambosi…..Hakikisha anafika Īkūngūlyabashashi kutusalimia huyu. Mtaniambia niwapokee eapoti Mwanza na kuwapeleka moja kwa moja nyumbani 😂
Ahahaahha wee nicheke tuu...Wa kwetu na ulivyo karembo siwezi kukucheka kamwe
Nimeona vya kuona leo, yashukuriwe miwani yangu ya macho 🤪Hii inspo🔥
Hapa anapigilia mkiwa wawili tu🤩itanogeza penzi lenu adi tujinyonge🥳🥳🔥
View attachment 3681065
Simba bingwa🤣Ahahaahha wee nicheke tuu...
Sema siku hizi nakosa udaku huku natingwa nikija nakuta kuna jambo lilitrend lilishapita
Weka order tumpe wifi yetuuuuNimeona vya kuona leo, yashukuriwe miwani yangu ya macho 🤪
Natamani nifike mwenyewe Dukani ili nichague, itapendeza nikapata bidhaa za kumfanya bibienu akumbuke moment za mwaka 47 🤭Weka order tumpe wifi yetuuuu
Yangu mambo ya online muendo wa kukutumia tu inspo uone ya kumfaaa😍🔥Natamani nifike mwenyewe Dukani ili nichague, itapendeza nikapata bidhaa za kumfanya bibienu akumbuke moment za mwaka 47 🤭
😃😃😃Mkuu😁😁we tubless basi