Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nyie wadada wa selfika...acheni kutuma tuma sura zenu humu...wakaka wanasema nyie ni vikaragosi...yani mna sura mbayaaa...wabovuu...eti mnajisnap na kuji AI
So msione wana like hapa na kuwapa sifa baadae mtashangazwa mtakapoanzishiwa uzi...
Mi nilishaacha toka mwaka jana maana hawana adabu hawa...ila baadhi sio wote...šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…
Sasa ganna naye wa kumsikiliza?

Yeye na min wana maumivu ya kukataliwa na wadada.!.!

Huyo min ndo mzee mpuuzi wa mwisho..!!

Ashukuru ki uzi chake kimefutwa nilitaka nimkaange akaangike..!! 😹
 
Nilihisi tu humu kuna jambo maana sio kwa mipasho ninayoiona..

Hao wadada wanalea ujinga wa nn???
hebu wajitokeze watoe yanayoendelea maana unakuta kwa haya mafumbo huko piemuni kuna mtu jambo kubwa tu litakuwa linasambazwa na mtu atakuwa anadhalilishwa vibaya mno.
😹😹😹😹😹😹😹😹

No comment
 
Nimesikia nimetukanwa , sijui kwa nini mods walifutašŸ˜…
Hujatukanwa umeambiwa ukweli, acha kurusha vijembe kwa wadada wa selfika..!!

Kama kuna mdada kakutaa au umeshare naye bwana funguka..!!

Una mvi lakini akili kisoda..

Hivi kama mdada sijui kaji-edit, mara Ai au snap wewe unaumia wapi??

Wewe mbona unapost pic sio zako wenzio wamekukalia kimya, kuna siku walikusema?

Unajitia diaspora na uko Malinyi unalima mpunga mbona watu wametulia?

Na wao wakifunguka mambo yako utakaa humu?
 
Hahaha sijaposti kwa lengo la mtu ,wala sina shida na yeyote humu labda ni wewe tu umeelewa vibya , kama mods hawafuti nitaposti ninachoona ni sawa tu
 
Sasa ganna naye wa kumsikiliza?

Yeye na min wana maumivu ya kukataliwa na wadada.!.!

Huyo min ndo mzee mpuuzi wa mwisho..!!

Ashukuru ki uzi chake kimefutwa nilitaka nimkaange akaangike..!! 😹
Wataje wadada nilio watongoza humu na nina ruhusu kabisa waweke ushahidi wala Moderator msiwahukumu kwa chochote nipo hapa nasubiri
 
Hujatukanwa umeambiwa ukweli, acha kurusha vijembe kwa wadada wa selfika..!!

Kama kuna mdada kakutaa au umeshare naye bwana funguka..!!

Una mvi lakini akili kisoda..

Hivi kama mdada sijui kaji-edit, mara Ai au snap wewe unaumia wapi??

Wewe mbona unapost pic sio zako wenzio wamekukalia kimya, kuna siku walikusema?

Unajitia diaspora na uko Malinyi unalima mpunga mbona watu wametulia?

Na wao wakifunguka mambo yako utakaa humu?
Ceasefire 😁
 
Attachments

  • 68E3FED2-5B7F-4C44-B382-8408FF6D54AD.jpeg
    68E3FED2-5B7F-4C44-B382-8408FF6D54AD.jpeg
    221.9 KB · Views: 1
Back
Top Bottom