binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,414
- 45,740
Afu mwanetu unakaa nje wewe bana, unatukoga tu humu! 😅We mama umekuja lini kibirizi umenikosa
Afu mwanetu unakaa nje wewe bana, unatukoga tu humu! 😅We mama umekuja lini kibirizi umenikosa
😎Halafu limtu linasema eti hakuna pisi kali Selfika/JF. Jiizazi! You are gorgeous!
Kuna vitu ukiwa na uwezo unafanya.Andaa ng'ombe fuso 2, maana ni kinanda hasa yaani 🤭
Nipo. Dawa ya deni ni kulipa. Nishalipa na sidaiwi binti kiziwi 😂😂😂😎
Pita bana usinitapeli, lipa nikulipe ndio lugha ya selfika 😅
Nalala muda sio mrefu mjukuu, ila nikisikia yule Kijana uliyemtaja anarusha jiwe juu ya bati kukuamsha, nitampiga faini 🤪😅😅😅😅 Lala Babu ake.
Chica Gee . Sijawahi kukuona hata kiwiko sis. Fanya jambo please 🙏🏿
Nje ni burundiAfu mwanetu unakaa nje wewe bana, unatukoga tu humu! 😅
Hayo ndiyo manenoKuna vitu ukiwa na uwezo unafanya.
She deserves.
Nitakudanganya sipiti leoChica. Sijawahi kukuona hata kiwiko sis. Fanya jambo please 🙏🏿
Siku ukipita nitag 🙏🏿🙏🏿🙏🏿Nitakudanganya sipiti leo
UsiwazeSiku ukipita nitag 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Ategemee mafurikoHayo ndiyo maneno
Infact she looks cute, Macho ya Wazee yameona 😎
Screenshot nione Kama usemayo kweli? 😹Pm kwa wengine nikatafute nini na wewe upo.
NIshakunywa maji ya bendera yako
😹😹😹 Ilala mabegani hii..!!Hahaha
Inaonekana unasakwa sana uingizwe kwenye radar za watu wakusambaratishe kama demiss, shughuli yako iishie hapo.
Hahaha hivi watu wanatumianaje mipapa.Screenshot nione Kama usemayo kweli? 😹
Hujatumiwa papa huko pm kweli? 😹
Unatuchezesha kidumbwe dumbwe😹😹😹 Ilala mabegani hii..!!
Nitawauza maboya mpaka wachoke wao..
Thank you babes wangu mzuri 😘
Lala 😀 au huko kwenu mchana.binti kiziwi nlienda kdg umepita hata sjakuona ujantag