min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 59,727
- 172,491
😅 mimi nawaruhusu kwa moyo mmoja watupie vitu😅Hahaha
😅 mimi nawaruhusu kwa moyo mmoja watupie vitu😅Hahaha
Mimi sijawahi kuona sura ya mdada hata mmoja selfika , embu tuma yako mara ya mwisho niioneNyie wadada wa selfika...acheni kutuma tuma sura zenu humu...wakaka wanasema nyie ni vikaragosi...yani mna sura mbayaaa...wabovuu...eti mnajisnap na kuji AI
So msione wana like hapa na kuwapa sifa baadae mtashangazwa mtakapoanzishiwa uzi...
Mi nilishaacha toka mwaka jana maana hawana adabu hawa...ila baadhi sio wote...😅😅😅😅😅😅
Elmino inatutishia bwashee, hapa naona kuna kuvuna mabua😅
Sura ya 2020 paja la 1970
HahahaElmino inatutishia bwashee, hapa naona kuna kuvuna mabua😅
Nama sana na viwavi vinapanda kwa fujoHahaha
dah, majaruba yako vizuri laknNama sana na viwavi vinapanda kwa fujo
Kama kawa , andaa kitambi cha kufukia ubwabwa tu😅dah, majaruba yako vizuri lakn
Unazingua muda wa kupiga picha hivyo unaupataje mzee au ni halftime 😁
Mnitoe ushamba babu yenu, hii ni Nini? Na
HahahKama kawa , andaa kitambi cha kufukia ubwabwa tu😅
Hayo mambo ya kwenu vijana wadogo dem anaingia ndani jasho kibao. Sisi wazee wa muda mref hiv vitu sio vya kukamiaUnazingua muda wa kupiga picha hivyo unaupataje mzee au ni halftime 😁
Kuuliza ni bure usihofuMnitoe ushamba babu yenu, hii ni Nini? Na
Inavaliwa sehemu gani ya mwili?
Kweli kuishi kwingi kuona mengi 🤗
Kwanza una piga nalo picha ya pamoja wazabuni tulioneHayo mambo ya kwenu vijana wadogo dem anaingia ndani jasho kibao. Sisi wazee wa muda mref hiv vitu sio vya kukamia
Sawa budaHayo mambo ya kwenu vijana wadogo dem anaingia ndani jasho kibao. Sisi wazee wa muda mref hiv vitu sio vya kukamia
Ewaaah vijana mpate stata ya kupanda mnaz kwa mkono mmojaKwanza una piga nalo picha ya pamoja wazabuni tulione
Aisee, nilikuwa sijui kwa kweliKuuliza ni bure usihofu
Hio waits belt crochet inavaliwa kwenye suruali kama pambo au unawezza kutupia kwenye maxi skirt🔥au maxi dressss