Kule juu kabisa post ya uzi ,Mshana wakati anaanzisha huu Uzi mwaka 2019 kaandika kuwa kuna muda watu wanahitaji kurelease stress, wa enjoy waselfike.
Hao wanaotaka warembo kuwawinda, nadhani hapa si mahali pake.
Kuna uzi wa picha Kali warembo world-wide waende huko.
Nashauri wasome uzi kwanza unataka nini, yawezekana hata Uzi wenyewe hawakuusoma.
Acha watu waselfike kwa raha zao.
Hawajalazimisha mtu kuwasifia, hawajalazimisha mtu kuwaona , hawatapeli cha mtu, hawajalazimisha mtu kutoa hela zake kuwapa.