Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,845
- 9,518
Mchuchu huniamini hahahaUna uhakika? 😹
Mwaka 6 sijawi mzamia mtu yeyoye pm mbali na yako.
Mchuchu huniamini hahahaUna uhakika? 😹
Hizo nguvu za kuchepuka ninazo basi babu yenu, hapa nimekaa navuta Kiko tu 🤗Haha haya babu salimia bibi! Au uko mchepukoni.
Niligundua wote machizi wanafarijiana ujinga..!!Ndo tuseme unaishi buza kweli/then what. Inamsaidia nini mtaka taarifa na mtoaji taarifa.
Nkuletee jiwe la ziwani mayoKwakweli umenipa mbinu miguu imepasuka kama viazi! Nikanunue soksi sasa nivae niwe mrembo☺️
Weka pm hapa tuone kama kweli 😹Mchuchu huniamini hahaha
Mwaka 6 sijawi mzamia mtu yeyoye pm mbali na yako.
Haha haya Babu G.Hizo nguvu za kuchepuka ninazo basi babu yenu, hapa nimekaa navuta Kiko tu 🤗
HahahaNiligundua wote machizi wanafarijiana ujinga..!!
Na kwa maelezo ya wog aliyemfata ni demu na nikajua tayari kashapitiwa na huyo mtu kwa kutaka umbea wa Lamomy….!!
Mi nipo bonyokwa mbona kila siku nawaambia, em wakuje kwanza huku kunisalimia..!! 😹
Tayari, Na kwanini unidanganye unaishi kibirizi nimekuja haupo?binti kiziwi tunaomba upite tupunguze sumu
Kwa Ile English figure, nategemea atakayekuja kukuposa, ajiandae kuniletea Koti la babu kutoka Italy 🤭Haha haya Babu G.
Mtoto kinanda dingiiiKwa Ile English figure, nategemea atakayekuja kukuposa, ajiandae kuniletea Koti la babu kutoka Italy 🤭
Na kwenye ng'ombe hapo waandae fuso 2 kama za Aziz Ki na Mobetto 🤗
Kuna yule mwehu wa humu humtaki alete ng’ombe? 😅😅Kwa Ile English figure, nategemea atakayekuja kukuposa, ajiandae kuniletea Koti la babu kutoka Italy 🤭
Na kwenye ng'ombe hapo waandae fuso 2 kama za Aziz Ki na Mobetto 🤗
Andaa ng'ombe fuso 2, maana ni kinanda hasa yaani 🤭Mtoto kinanda dingiii
Tayari, Na kwanini unidanganye unaishi kibirizi nimekuja haupo?
Halafu limtu linasema eti hakuna pisi kali Selfika/JF. Jiizazi! You are gorgeous!
Kama ana uwezo wa kuleta fuso 2, tutakuwa tayari kuonana nayeKuna yule mwehu wa humu humtaki alete ng’ombe? 😅😅
Pm kwa wengine nikatafute nini na wewe upo.Weka pm hapa tuone kama kweli 😹
😅😅😅😅 Lala Babu ake.Kama ana uwezo wa kuleta fuso 2, tutakuwa tayari kuonana naye
Otherwise, aishie kukuona kwenye picha tu hapa selfika 🤭