Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sio kwa nia mbaya, na wala sitojali mtakavyonichukulia humu.

Huu uzi una husika kwa 100% kuzalilisha wengi humu hasa wanawake.

Mbaya zaidi uzi ulianza na ulikuwa na nia njema ila kuna watu wanatumia hiyo nafasi kuumiza wengine.

Mdada unaweka picha na unaifuta ndani ya dkk moja ila hapo tayari kuna screenshot zaidi ya 20 zimefanyika ili kuja kukudhalilisha.

Moderator Maxence Melo Huu upuuzi ambao mnaoukuza humu ipo siku utatokea kwa mabinti zenu wa kuwazaa.

Huu uzi usipofutwa ndani ya siku chache zijazo, Maxence Melo Ijumaa hii nitakufata pm kukuonyesha vile watu wanadhalilishwa kupitia mnachokilea hapa
 
Back
Top Bottom