Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Acha zako kaka, acha kuchafua mtu kwamba anakula exhaust...

Pengine alitaka kuhakikisha kama we kweli Ke...

Halafu kama mtu ameamua kutembea na wanawake humu si kosa kisheria...

Hata kama akiamua kutembea na jf yote, hakuna tatizo...
😂😂😂 wewe utapagawa sana na mie.
Bado huja heal mwanetu?? 😂😂
 
Mamaa cocastic tamu ya boss kubwa JF King wa mivoucher..!!

Pisi kareee ya muda woteee

Unawaka hata kwenye giza la usiku wa manane..!!

Advocate wa vidampa wote wa mjiniiii

Mtoto wa kingoni na kimatengo..!!
Huna kazi mbovuuu kwenye uwanja wa fundi seremala..!!

Dada engineer anayechora mpaka maisha ya wajuaji..!!

Tambaaa Mrs Mjep, tambaaa mke wa bossss

Uwanja ni wako.. JIACHIEEEE

WAONYESHE WAJA UZURI UMETUNUKIWA HAUJAUNUNUA KWA SURGERY

DJ nileteee Engineer wa UDSM 😹
Uduguu ntakubondaaa sahivii, haya maelezo yote ya nini? 😂😂😂
Huu uchochezii sasa. Lol.
 
😂😂😂 wewe utapagawa sana na mie.
Bado huja heal mwanetu?? 😂😂
Kaka angalia mrembo huyo... ni wewe tu... nikupe namba?
1405.jpg
 
Mamaa cocastic tamu ya boss kubwa JF King wa mivoucher..!!

Pisi kareee ya muda woteee

Unawaka hata kwenye giza la usiku wa manane..!!

Advocate wa vidampa wote wa mjiniiii

Mtoto wa kingoni na kimatengo..!!
Huna kazi mbovuuu kwenye uwanja wa fundi seremala..!!

Dada engineer anayechora mpaka maisha ya wajuaji..!!

Tambaaa Mrs Mjep, tambaaa mke wa bossss

Uwanja ni wako.. JIACHIEEEE

WAONYESHE WAJA UZURI UMETUNUKIWA HAUJAUNUNUA KWA SURGERY

DJ nileteee Engineer wa UDSM 😹
Mjep anakojolea pazuri kmmk! 😂😂😂
 
Kaka unazingua...
Kila nikitafakari umepoteza marinda halafu we ni msela huwa natafakari sana...
Nachotaka achana na hio tabia...
Msela ni mie, marinda ni yangu, nimepoteza mie. Wee unatafakari nini? Unataka niache wee km nani?

Naamini hujanisahau, ila unataka niku boost urudi tena mjini JF, 😂😂😂
 
Back
Top Bottom