Mbona hukusema mapema Ili nije!?Weekend tuko somewhere tunachangamsha ubongo..!! 😹
Njoo tunywe wine
Vizuri, Niko salama pia.niko salama, sijui wewe
Ndio. Unichore na Picha uiweke Hapa Kila mtu aione.Utachoreka?
Karibu tumalizie mabaki ya kwenye sherehe.Vizuri, Niko salama pia.
Weka hapa reference photo chapNdio. Unichore na Picha uiweke Hapa Kila mtu aione.
Wapi Tena huko. Mbona mwaliko wa ghafla Tena.Karibu tumalizie mabaki ya kwenye sherehe.
Njoo 😹Mbona hukusema mapema Ili nije!?
Picha yangu mbona tayari unayo!Weka hapa reference photo chap
Nitachelewa Leo, Mamy am sorry.Njoo 😹
kijijini kwetu huku sanga mwalugeshi,, Jana kulikuwa na shereehe ya ufunguzi wa nyumba pakachinjwa ngombe tukaalika na msanii kisima.Wapi Tena huko. Mbona mwaliko wa ghafla Tena.
Sina ata ya mkonoPicha yangu mbona tayari unayo!
Hongereni sana. Shughuli imeisha salama. Nashindwa kuja tuimalizie . Wakati mwingine unanipa mwaliko mapema.kijijini kwetu huku sanga mwalugeshi,, Jana kulikuwa na shereehe ya ufunguzi wa nyumba pakachinjwa ngombe tukaalika na msanii kisima.
Sasa ndio tupo hapa tunamalizia mabaki.
Mbona unanidanganya?. Picha zote nilizotuma humu yaani hukuona walau hata moja.Sina ata ya mkono
Niwekee yangu mwenyewe hapa kabla hawajajaMbona unanidanganya?. Picha zote nilizotuma humu yaani hukuona walau hata moja.
Weka uenda nitakuchora Mimi.Niwekee yangu mwenyewe hapa kabla hawajaja
😹😹 Unafanya kazi viwandani?Nitachelewa Leo, Mamy am sorry.
Weka tufurahie leo weekendWeka uenda nitakuchora Mimi.
Ndio kiwanda cha kutengeneza vijora. Sitaki kesho ukose mzigo wa kuuweka dukani kwako.😹😹 Unafanya kazi viwandani?