πππNimelia sana mdogo wangu πππ
Raha ya umbea uwaelewe wahusika.
Nakuona unaelekea kuwa km yule mzee anayebwia visungura na nyagu fekiπΉπΉπΉ
Kwani kuna tatizo kuweka mpodido wangu ukutani ili nikiingia niwe nautazama..!! πΉ
Yani tukiingia tu na shem wako anaanza kudindisha mlangoni awwwww ππππΉπΉ
Hii idea nimeipata leo sijui shetani ananitaka nini mimi??
Nawaza nna kibikini mshenzy na ki bra maringo halafu pose moja kali, unywele unapepeeya kama mkia wa farasi..!! Hiyo pic itakua kali kinyama..!! πΉπΉ
πππPic za kwenye kioo sitaki, nataka zile za kulala na kubinuka..!!
Yani niweke pose la kiuno kipo upande, traco limebinuka binu na shingo inabembea kwa nyuma huku u- hair unapepeeya..!!
Lips zimekolea lip gloss na jicho kungu manga..!!
Nataka pic flani very romantic πΉ
Em mwaga maujuzi mengine mate.. jambo langu lifanikiwe..!!
Sometimes Selfika kuna ujinga mwingi sanaπππ€£
πππ unamjua babu miga vizuri akitaka jambo lake? Yule ni mafia alikutana na mwamba hapa.Coca mjanja kwahiyo akahepa π€£ Lengo lake lilikuwa kumpa kazi kweli au basi tu ampige picha na yeye.
Kumbe JF kuna watu wana migodi banangeee! ππ»ββοΈ
ππππHizo sasa nimwachie mdogo wangu Coca akupe muongozo, Hizo levels za mambele mi sigusi.
Umepatwa na nini? πππ Unapenda fujo ngoja Country aje kukuchukua.
Hebu nibless leo tupo wawili tuπWewe ndio umeleta hii burudani. Sema Mshana una akili nyingi sana tajiri. π
Jamani Babu Miga alinitafutia kazi hapo TCRA, can u imagine hilo jengo naliona pembeni kwa 4yrs nikiwa hapo main campus afu shwaa nanigia mjengoni, ππππKijana wa makamo, mjomba flani aliyechangamka..!! πΉ
Ana migodi pesa kwake sio za kubeep ni kupiga..!!
Kuna kipindi alimtafutia kazi coca akamwambia wakutane wapumzike rotana..! πΉπΉ
Coca em njoo umpe ubuyu mahi wetu.!.!
Nikikumbuka nacheka sana πΉπΉ
Ngoja coca aje akuchekeshe vituko vya babu miga..!!
πππ udugu una dhambii wewe.Coca alijua kinachofatia kufotoana akamkwepa πΉπΉπΉ
Coca si mjanja born hiya hiya πΉ
Hapo kwenye migodi sina uhakika lakini kwa maelezo yake..!!
Mi alinitaka nikamkataa akanichamba πΉπΉ
Babu miga anafurahisha kama sio babu yako..!!
πππAkili mtu wangu! πππ
Tena alivyokua ananipania. Unaambiwa Selfika nzima aliwapanga anakuja kuwapa full details zangu na ushahidi juu.Babu alikua anamuwinda coca amfotoe alete risiti hapa..!! Coca akashtuka chap πΉπΉπΉ
ππππWe nawe ukinywaga visungura vyako unakuwaga km kichaa..!! Shida nini?
Mbona unazidi kujivua nguo kila siku?
Aliyekwambia watu wanatafuta watu nani?
Em waeke hapa tuwaulize..!!
Unaimba?Mrembo 1 wakunifanya niikaribishe jpili vizuri. Tafadhari.
Ombi sio dhambi
Mapenzi ni asili yetu mimi na wewe.
Ngono ni tiba ya akili na mwili.
Starehe ni furaha inayoleta amani moyoni.
Hapana. Nihitaji binafsi mkuuUnaimba?
Tupo hapa postini picha zenu za huko mbulu , tunawafuatilia pumbavu sana
Ooh kila la kheri!Hapana. Nihitaji binafsi mkuu
Hebu nibless leo tupo wawili tuπ
Nyie ndio wenyewe!πWe bwana! Mimi mchimba chumvi, bora uniache tuu! π