Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,615
- 35,325
Uwanja wa vijana huu, sisi wazee tutabaki kuwa watazamaji tu 😂Mwanakwetu nibless tu wewe..!!
Nipo ila bize bize kidogo!Ulipotelea wapi?
Uwanja wa vijana huu, sisi wazee tutabaki kuwa watazamaji tu 😂Mwanakwetu nibless tu wewe..!!
Nipo ila bize bize kidogo!Ulipotelea wapi?
Umesema sahihi Mkuu, bonge la movieNi kama meditation fulani ukiwa kwenye panic situation na hua inafanya kazi😀
Mtoto ulivyo mkali wewe uzee umeutoa wapi?Uwanja wa vijana huu, sisi wazee tutabaki kuwa watazamaji tu 😂
Nipo ila bize bize kidogo!
Huo mtego siuingii 😂Mtoto ulivyo mkali wewe uzee umeutoa wapi?
Em nibless miyee nishushie matunda yangu hapa..!! 😹
Acha uoga tuma pic tuone uumbaji huo 😹Huo mtego siuingii 😂
View attachment 3678887
Hebu anza wewe wa maji kwa kwanza labda utani inspaya 😂Acha uoga tuma pic tuone uumbaji huo 😹
Mtoto mkaree kama wewe unaogopa nini?
Mi simu yenye pic ipo kwa fundi..!! 😹Hebu anza wewe wa maji kwa kwanza labda utani inspaya 😂
Wacha weeeh 😂 tambo zote hizo ili nijae kwenye mfumo, niwape mada za kujadili humu, akuuuu 😆😆😆Mi simu yenye pic ipo kwa fundi..!! 😹
Wewe maji ya kwanza tena yale ya moto kabisaaa..!!
Twendee kazi somo na kungwi wetu wa JF
Namba moja unashika wewe
Namba mbili unashika wewe
Namba tatu unashika wewe
Dj mlete kungwi mwenye Tbs zake JF anajiita binti wa zamani lakini mtoto bado mbichii kama ni mchicha basi ni ule uliochumwa alfajiriiii jogoo linawikaaaa..!!
Tambaaa binti wa zamani, uwanja ni wako..! 😹
😂😂😂YBWYB Mamba 24 haikwepeki…!! 😹😹😹
Konki konki masta
Wewe lete ma-idea kama unayo, Jambo hilo lifanikiwe….!!
Nakukaribisha ujiachiee..!! 😹😹Wa
Wacha weeeh 😂 tambo zote hizo ili nijae kwenye mfumo, niwape mada za kujadili humu, akuuuu 😆😆😆
View attachment 3678915
Ngoja niite visu humu waje kutupa mambo Mallerina kijukuu cha mtume, njoo uwaonyeshe uumbaji 😂
😂😂😂😂 uduguu wee ni chizii au?😹😹😹 Umepatiwa kazi kabla hujagraduate..!! Chezea babu miga..
Halafu hizo kazi zote zipo kwenye vitengo vizuri vya pesa..!!
Ushindwe wewe..
Babu alikua na ulimbo mkali, ndiomana alizitafuna sana..!!
Watu wakisikia watapewa kazi Airport, TCRA au bandarini chap wamevua vichupi..!! Miga anajiondomolea kwa raha zake na selfie ya ukumbusho unapigwa kukazia kazi..!! 😹
😂😂😂 kwa kweli.😹😹😹😹 Ila babuu
Kuna parody lake moja alikuja nalo akaniambia wewe lazima ndani ya huu Mwaka nikukamate labda kama sio mimi.
Hiyo ilikua 2024 nikacheka sana..!!
Nilitaka nimfanyie utoto wa mjini lakini nikaona nitapoteza muda kudeal na machizi..!!
Yani huyo ningeruhusu tukutane lakini yeye ndo angekuja kusimulia yaliyomkuta..!!
Na pics angepigwa yeye 😹😹😹
Anakutana na wajinga wanamchekea
😹😹😹 Babu miga woyeeeee
Nijiachie kwenye mtandao wa wasiojulikana 😂Nakukaribisha ujiachiee..!! 😹😹
"kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza" 📌📌📌Wewe mbona mzuri bana unajishtukia..
😹😹😹 Hapo tumuulize dr manyau nyau au NIMEROGWA?😂😂😂😂 uduguu wee ni chizii au?
😁😁unanichekesha ila umepotea mnoWacha weeeh 😂 tambo zote hizo ili nijae kwenye mfumo, niwape mada za kujadili humu, akuuuu 😆😆😆
View attachment 3678915
Ngoja niite visu humu waje kutupa mambo Mallerina kijukuu cha mtume, njoo uwaonyeshe uumbaji 😂
Umeanza lini uoga? 😹Nijiachie kwenye mtandao wa wasiojulikana 😂
"kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza" 📌📌📌
Tuishi humo!
We mchochezi, punguza maneno, anza kwanza wewe kuselfika tutafuata mfano wakoUmeanza lini uoga? 😹
Sasa nani atakujua humu na ushasema wasiojulikana?