Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂😂 unamjua babu miga vizuri akitaka jambo lake? Yule ni mafia alikutana na mwamba hapa.
Woiiiiih 😂😂
Acha zako kaka, acha kuchafua mtu kwamba anakula exhaust...

Pengine alitaka kuhakikisha kama we kweli Ke...

Halafu kama mtu ameamua kutembea na wanawake humu si kosa kisheria...

Hata kama akiamua kutembea na jf yote, hakuna tatizo...
 
Mrembo 1 wakunifanya niikaribishe jpili vizuri. Tafadhari.
Ombi sio dhambi
Mapenzi ni asili yetu mimi na wewe.
Ngono ni tiba ya akili na mwili.
Starehe ni furaha inayoleta amani moyoni.
Yuko singo
Khozi Maluleke - Khozi Maluleke updated his profil.jpeg
 
Jamani Babu Miga alinitafutia kazi hapo TCRA, can u imagine hilo jengo naliona pembeni kwa 4yrs nikiwa hapo main campus afu shwaa nanigia mjengoni, 😂😂😂😂

Mara anitafutie kazi Airport, sijakaa vizuri kuna nafasi 3 zimetoka hapo bandarini ko 1 ni yako, 😂😂😂

Nikachanga karata vizuri, mmmh hapa kuna kukutwa na jambo.
😂😂😂😂 babu miga em njoo kuwadi wako niko hapa, umenisusa bhanaa.
😹😹😹 Umepatiwa kazi kabla hujagraduate..!! Chezea babu miga..

Halafu hizo kazi zote zipo kwenye vitengo vizuri vya pesa..!!
Ushindwe wewe..

Babu alikua na ulimbo mkali, ndiomana alizitafuna sana..!!

Watu wakisikia watapewa kazi Airport, TCRA au bandarini chap wamevua vichupi..!! Miga anajiondomolea kwa raha zake na selfie ya ukumbusho unapigwa kukazia kazi..!! 😹
 
Tena alivyokua ananipania. Unaambiwa Selfika nzima aliwapanga anakuja kuwapa full details zangu na ushahidi juu.
😂😂😂😂
😹😹😹😹 Ila babuu

Kuna parody lake moja alikuja nalo akaniambia wewe lazima ndani ya huu Mwaka nikukamate labda kama sio mimi.

Hiyo ilikua 2024 nikacheka sana..!!

Nilitaka nimfanyie utoto wa mjini lakini nikaona nitapoteza muda kudeal na machizi..!!

Yani huyo ningeruhusu tukutane lakini yeye ndo angekuja kusimulia yaliyomkuta..!!

Na pics angepigwa yeye 😹😹😹

Anakutana na wajinga wanamchekea
 
Back
Top Bottom